Pre GE2025 Serikali yapendekeza trilioni 57.04 kutumika mwaka 2025/26

Pre GE2025 Serikali yapendekeza trilioni 57.04 kutumika mwaka 2025/26

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma.

Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 57.04 kwa mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la asilimia 13.4 ikilinganishwa na Bajeti ya Mwaka wa Fedha, 2024/25 ya shilingi trilioni 50.29.

View: https://www.instagram.com/p/DHEfRuut4qw/?igsh=em1yOGo3aGhvNnh4

My Take
Bajeti hii ni sawa na Ongezeko la Shilingi Trilioni 20 ndani ya miaka 4 na nusu ya Uongozi wa Rais Samia.

Kiufupi ni kwamba Kwa miaka hii 4 ya mama ameongeza pesa nyingi zaidi both in quantity or percentage wise.

Mwaka wa Fedha wa 2025/26 TRA itakuwa inakusanya wastani wa 3T/Mwezi kutoka 1.5T/Mwezi mwaka 2021/2022 yaani mara 2 yake.Hii ni rekodi iliyowekwa na Samia tuu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DHF-mmusmk7/?igsh=MjluMmZ0dTJndXph
 
Tegemea msururu wa tozo kwenye kupokea simu, kwenye maji ya kunywa, gesi ya kwenye magari, whatsapp, instagram, X, fesibuku, tik tok, telegram, kurudishwa kwa kodi ya kichwa, madanguro yatahalalishwa ili walipe kodi.
Hata akili ya kujiongeza huna,unaweza weka hayo mwaka wa uchaguzi?

Serikali haitegemei tozo Kwa Sasa biashara, uwekezaji,viwanda na kilo vinafanya vizuri Sana.
 
Hata akili ya kujiongeza huna,unaweza weka hayo mwaka wa uchaguzi?

Serikali haitegemei tozo Kwa Sasa biashara, uwekezaji,viwanda na kilo vinafanya vizuri Sana.
Mwaka upi wa uchaguzi, wakati vyombo vya dola ndio vinafanikisha ushindi wa shuruti?
 
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma.

Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 57.04 kwa mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la asilimia 13.4 ikilinganishwa na Bajeti ya Mwaka wa Fedha, 2024/25 ya shilingi trilioni 50.29.

View: https://www.instagram.com/p/DHEIz2fq1tT/?igsh=MWpoaHZ4djRzMGc3cQ==

My Take
Bajeti hii ni sawa na Ongezeko la Shilingi Trilioni 20 ndani ya miaka 4 na nusu ya Uongozi wake.

Hakuna Uhalisia ni porojo tu, iliyopita hata 40% haikutekelezwa
 
Back
Top Bottom