Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20240330_122318_Microsoft 365 (Office).jpg

Taasisi zetu hasa mashule na magereza zimejiandaaje na hili katazo?
 
Ni jambo jema sana! Mazingira yameathirika vibaya sana na ukataji miti ovyo. Serikali kwa upande wake ihakikishe nishati mbadala inapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi nchini kote.
 
Ni jambo jema sana! Mazingira yameathirika vibaya sana na ukataji miti ovyo. Serikali kwa upande wake ihakikishe nishati mbadala inapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi nchini kote.
Labda hivo
 
Watumie Gesi na kwenye Mashule Serikali uangalie namna ya kuiruzuku Gesi hiyo.
 
Ni jambo jema sana! Mazingira yameathirika vibaya sana na ukataji miti ovyo. Serikali kwa upande wake ihakikishe nishati mbadala inapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi nchini kote.
serikali hii haijali raia unga bei juu,maharage bei juu,nauli bei juu,tatizo waziri anafanya biashara atamjali mtanzania?hivi rostam atauza gesi Kwa shilingi elfu kumi?Nchi imetekwa IPO Kwa wahuni usitegemee jipya
 
Aiseee kumbe katazo ni la 2023 huko mbona nimetoka kwenye shule moja apo jins x kuni zimeshushwa na Kenta [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bila kuukataa umaskini Tanzania haitaendelea, umasikini ndo sababu ccm inatawala
 
Back
Top Bottom