Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

Hiyo misitu wanayofyeka ikiisha ajira zitatoka wapi? Tuangalie sustainability holistically badala ya kuangalia vikundi vichache vya wafyeka misitu.
Njia pekee ya kupambana na hii hali bila kuathiri upande mwingine, zoezi la upandaji miti linatakiwa liwe endelevu, kuwepo na taasisi zinazostawisha miche, na nguvu kazi wakabizie kwenda kuipandikiza mashambani. Ile pesa/ushuru unaokusanywa kutokana na uvunaji wa misitu, itumike pia kuwawezesha vijana kupata ajira ya kupanda miti.​
 
Hiyo ndio sustainability inayotakiwa. I agree with you.
 
Hili litawezekana kwa Shule na Magereza?

Hii serikali ambayo imeshindwa kupeleka capitation mashuleni kwa wakati (baada ya elimu bure) leo itaweza kupeleka gas mashuleni?

Hiki ni moja ya kituko kikubwa kwa mwaka 2024.
 
Amependekeza alternative cooking fuel au amelewa na anataoa agizo tu?
Watapikia nini hizi shule za Tanzania zina budget ya gas au umeme?? Lack of seriousness is costing our country
 
Ukweli ni kwamba hakuna uwezekano wa !,Tanzania kuacha kutumia kuni na mkaa kwa miaka 100 ijayo. Jambo la msingi sana mkazo uwekwe kwenye upandaji wa miti ya kisasa (exotic trees 🌳 species) zinakua haraka na zinaweza tumika kwa kuni bila kuadhiri misitu ya asili, nje ya hapo tunafarijiana kwa uongo
 
Back
Top Bottom