dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Kuna watu wanafyeka misitu utadhani waliumbwa kwa ajili hiyo! Vijito vingi vya kuvutia maeneo mbalimbali nchini vimepotea kutokana na kutojali mazingira.Tutazoea hiyo hiyo ladha mpya, huwa ninaumia sana nikiona miti inakatwa.