Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Lakini serikali ingeandaa mazingira rafiki na mbadala badala ya kukurupuka kuzuia.Ni jambo jema sana! Mazingira yameathirika vibaya sana na ukataji miti ovyo. Serikali kwa upande wake ihakikishe nishati mbadala inapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi nchini kote.
Kufanya hivyo ni sawa na kupiga marufuku wa uwepo wa nyama chomaBest move, mara nyingi huwa nafikiria kimoyomoyo, kwanini serikali isipige marufuku matumizi ya kuni na mkaa?
Dua zangu zimeanza kuitikiwa.
Of course nishati mbadala ikipatikana kwa bei rafiki automatically wananchi wataachana na ukataji miti bila Serikali kutumia maguvu!Lakini serikali ingeandaa mazingira rafiki na mbadala badala ya kukurupuka kuzuia.
Hivi hakuna namna ya kuandaa nyama choma zaidi ya kutumia mkaa na kuni?Kufanya hivyo ni sawa na kupiga marufuku wa uwepo wa nyama choma
Nishati mbadala zinafaa pia kuandaa nyama choma na vyakula vingine vinavyoandaliwa kwa kuchoma.Kufanya hivyo ni sawa na kupiga marufuku wa uwepo wa nyama choma
Hata cremation zilizokuwa zinatumia magogo enzi hizo; siku hizi ni nishati mbadala na zinafanyika vizuri tu.Hivi hakuna namna ya kuandaa nyama choma zaidi ya kutumia mkaa na kuni?
Kabisa, kama bei ya gas na umeme Bado Iko juu, mkaa na Kuni zitatumika kwa sana.Ni jambo zuri ila ilipaswa bei ya nishati mbadara iwe cheap kuliko mkaa na kuni hapo hakuna ambaye angetumia kuni wala mkaa
Nishati mbadala zinafaa pia kuandaa nyama choma na vyakula vingine vinavyoandaliwa kwa kuchoma.
Hapo sawa. Yaandaliwe mazingira, ukataji miti upigwe marufuku.Hata cremation zilizokuwa zinatumia magogo enzi hizo; siku hizi ni nishati mbadala na zinafanyika vizuri tu.
Hakuna, labda makaa ya mawe ambayo pia kupatikana ni changamotoHivi hakuna namna ya kuandaa nyama choma zaidi ya kutumia mkaa na kuni?
Tutazoea hiyo hiyo ladha mpya, huwa ninaumia sana nikiona miti inakatwa.Iliyochomwa kwenye moto ni tofauti, kwa mfano kuna baadhi ya maeneo wanaotumia gesi, mishikaki wanadumbukiza kwenye mafuta; sasa ile ladha ya uchomwaji inakuwa haipo.
Kwa maelezo yako hayo unazungumzia luxurious life.Iliyochomwa kwenye moto ni tofauti, kwa mfano kuna baadhi ya maeneo wanaotumia gesi, mishikaki wanadumbukiza kwenye mafuta; sasa ile ladha ya uchomwaji inakuwa haipo.
Itaathiri pia ajira za wengineKwa maelezo yako hayo unazungumzia luxurious life.
Maisha ya anasa yana gharama zake; mkaa hautapigwa marufuku kabisa ila unaweza kuuzwa gunia sh laki tano ili watu wa class yako muendelee na maisha bila athari kubwa za kimazingira.