Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

Mkuu ningekushauri kasome kwa taratibu na uzuri zaidi kuhusu GMO ndo uandike hayo uliyoandika. Nani kakwambia wazungu wote wanatumia vyakula vya GMO? Unajua nchi nyingi tu zilizoendelea zimeikataa? usichanganye GMO na teknolojia zingine za kilimo
Mkuu ulaya nchi nyingi zimepiga marufuki kampuni maarufu la Mosanto amabo ni kinara wa hayo ma GMO
 
Whaaat? Kwa hiyo muda wote nimekuwa nasoma bure?!! Hivi mnajua namna kuku wa kisasa, embe sukari, nanasi, ng'ombe wa kisasa wa maziwa/nyama, nk vili/wali?!!!!! Au mnafurahi kula tu? Ama kweli, "Africa is just Cemetery for Africans" - Putin V. (2018)
 
Mb
Mbona hao hao wananunua tumbaku? Kwa nini wasiipige marufuku?
 
madhara yake yanakuja baadae ukishatumia sana, kuna kitu kinaitwa bioaccumulation inamaanisha kwamba, unatumia kitu kinamadha yanayoonekana kidogo kwa mda huo, lakini kadili unavyozidi kutumia yale makemikali yanarundikana ndani ya mwili wako, mwisho yanakua mengi ndipo hapo unazuka ugonjwa wa ajabu ajabu unaanza kusumbuka mahospitali.
 
Tumekusikia ila tukinyimwa misaada na akina Salary Slip na genge lake la akina Quinine, Informer Synthesizer Erythrocyte wakianza kuinanga serikali uwe karibu kuwaelimisha. Siyo wakianza unanyamaza. Kwani imekuwa kawaida hapa JF Serikali ikifuata mawazo yenu wataalam inanangwa na mnakaa kimya. Mfano kuhusu korosho, kila mtu alisema serikali iingilie kati ilipoingilia kati unaona nongwa zao lakini walewalokuwa wanashauri wapo kimya
 
Hii ni kweli ukiwa mtumiaji mzuri ukifikisha miaka 40+ unaanza kuona madhara yake!! Hapa ndo yanaibuka magonjwa makubwa na ya ajabu kutibika! Hasa Cancer maan sumu inakua nyingi mwilini, magonjwa ya figo mapafu n. K
 
Mbona unajicontradict wakati mdau kakupa hasara za Genetic modified product..basi hao wazungu wenyewe unaowasifia wanazikataa mbaya na sio kitu cha kukimbilia
 
"If the Americans like to eat GMO products, let them eat it then. We don’t need to do that; we have enough space and opportunities to produce organic food.
— Dmitry Medvedev, prime minister of Russia

Halafu anatokea mtu mmoja anakuambia hizo mbegu ni nzuri inabidi umuache tu na ujinga wake. Mbegu za GMO hazifai hata kidogo ni za hovyo na hatari kwa afya

Nchi nyingi tu zimeban hizo mbegu kutumika kwa kutambua madhara yake kwa afya

For example, a 2013 article in the Nation states that 26 countries had total or partial bans on GMOs, “including Switzerland, Australia, Austria, China, India, France, Germany, Hungary, Luxembourg, Greece, Bulgaria, Poland, Italy, Mexico and Russia,” and that “significant restrictions on GMOs exist in about sixty other countries.” In 2015, anti-GMO group Sustainable Pulse said that 38 countries ban the cultivation of GMO crops. The group’s list includes Algeria and Madagascar in Africa; Turkey, Kyrgyzstan, Bhutan, and Saudi Arabia in Asia; Belize, Peru, Ecuador, and Venezuela in South and Central America; and 28 countries in Europe.
 
Na hawa jamaa wanazisajili mbegu zao wakikukuta unapewa fine kali kama umeiba nyara za serikali..na all in all with timw zinaharibu sana mazingira kutokana na madawa yanayotumika...nadhani hawa Mosanto washaanza ingia Tanzania huko Arusha
 
Hatuwezi kukimbia GMO, ndio kilimo kilipo na kinakokwenda. Badala ya kuogopa mabadiliko, tujitahidi tujifunze na sisi tuweze kufanya, tusije tukageuka tegemezi. GMO zimeenea sana hapa Tanzania, sijui kama itakuwa rahisi kuzizuia kwa sasa.
 
Hii ni kweli ukiwa mtumiaji mzuri ukifikisha miaka 40+ unaanza kuona madhara yake!! Hapa ndo yanaibuka magonjwa makubwa na ya ajabu kutibika! Hasa Cancer maan sumu inakua nyingi mwilini, magonjwa ya figo mapafu n. K
ndo hivyo Mkuu, haya madude hayafai kabisa.
 
Hatuwezi kukimbia GMO, ndio kilimo kilipo na kinakokwenda. Badala ya kuogopa mabadiliko, tujitahidi tujifunze na sisi tuweze kufanya, tusije tukageuka tegemezi. GMO zimeenea sana hapa Tanzania, sijui kama itakuwa rahisi kuzizuia kwa sasa.
Mkuu sidhani kama uko sahihi sana (utanisamehe kama nakosea). Kuna hybrids (chotara) na hizo GMOs. Hybrids ndo zimeenea sana hapa nchini. Hizi ukipanda zinaota vizuri sema sifa husika (kuvumilia ukame, magonjwa, uzaaji nk) hupungua kadri unavyorudia kupanda

GMOs kwa sasa zilikuwa zinafanyiwa utafiti makutupola pale. Hizi huwa zinatengenezwa mahsusi kwa kuzaa sana au kuvumilia/kukinzana na magonjwa au wadudu fulani. Na wengine wanazifanya tegemezi kwa kitu fulani ili wapate faida zaidi kwa kukuuzia more products. Kwa mfano.

1. Mbegu inaweza ikatengenezwa ma ikafanywa tegemezi kwa kiuatilifu fulani ndo izae sana. Hapa utauziwa mbegu na kulazimishwa kununua hicho kiuatilifu ili upate majibu mazuri. Hapa utaambiwa ili izae vizuri inabidi utumie hii kitu shambani kwako katika kupalilia etc


2. Inaondolewa uwezo wa kuwa mbegu baada ya kuvuna. Hili linafanyika ili urudi kwa mtengenezaji kila ukitaka kulima.

Naomba kuwasilisha
 
Sandpiper, do not only look at the superficial benefits you have been told by Monsanto.Please think of the dark side of GMOs.I do not have to go to the details of the side effects of GMOs because they are everywhere.But how for Gods sake can we believe Monsanto to have anything to do with what we eat,it is such an evil company.Please go through the following to have a glimpse at the history of the company,it is so horrific.

The Complete History of Monsanto, The World's Most Evil Corporation
 
Aliyesambaza ujumbe kuwa mbegu za GMO ukipanda huwezi rudia msimu unaofuata sijui nani? Hakuna kitu inaitwa terminator gene ni myth siyo kweli. Zitaota sema kuna kitu kinaitwa segregation so haitakuwa na ubora wa mwanzo.
 
On serious note hizi taasisi za research bora vyombo watu tumeshaona Kuna tatizo kubwa na litaathiri ustawi wetu kama taifa, mi nimetembelea taasisi nyingi kipindi flani nilizoona ziko poa ni SUA ya morogoro, Ifakara utafiti na TACRI ya lyamungo moshi
 
😀😀😀
Umejipinda kuandika na kumdharau jamaa bure, naona mambo ya kusikia tu ndio umeyaamini hukujikita kutafuta ukweli kwa undani.
 
Kwan hii GMO inatokea nchi gani?maana sio tunaikataa tu kumbe ni ya WB wakatishia kutunyima msaada tena tuanze kulia lia alafu baadae tukubali tena hyo GMO
 
finally [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…