Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa, na kusema kuwa wamiliki wote wa shule wenye kutoa huduma za usafiri kwa wanafunzi pia wahakikishe vitendo vya ukatili kwa wanafunzi wakiwa kwenye magari au mabasi vinakomeshwa.

Aidha Wizara ya Elimu pia imewataka wamiliki hao kuhakikisha kwamba magari au mabasi yao yanayotumika kusafirisha wanafunzi yanakuwa na vioo angavu na sio tinted.

Waraka huo umelenga kuboresha huduma za usafiri wa mabasi yanayotumika kusafirisha wanafunzi wakati wa kurudi ama kwenda shuleni, kufuatia uwepo wa watoa huduma katika magari hayo kuwa na tabia za viashiria vya kuleta mmonyoko wa maadili, kuathiri ukuaji, ujifunzaji na kuhatarisha ustawi wa watoto kiujumla.

Ikumbukwe hivi karibu kupitia mitandao ya kijamii ilisambaa video fupi ikionesha watoto wadogo waliokuwa kwenye gari la shule wakiimba nyimbo ambazo hazileti afya nzuri katika ukuaji na ustawi wa maadili kwao.

Chanzo: EATV
 
Ile misiki ya kina wasafi na Makonda sijui nani na nani wanacheza uchi na matusi marufuku kwenye magari ya watoto wetu

USSR
Screenshot_20230310-113715.jpg
Screenshot_20230310-113729.jpg
Screenshot_20230310-113333.jpg
Screenshot_20230310-113244.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230310-113729.jpg
    Screenshot_20230310-113729.jpg
    72 KB · Views: 2
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa, na kusema kuwa wamiliki wote wa shule wenye kutoa huduma za usafiri kwa wanafunzi pia wahakikishe vitendo vya ukatili kwa wanafunzi wakiwa kwenye magari au mabasi vinakomeshwa.

Aidha Wizara ya Elimu pia imewataka wamiliki hao kuhakikisha kwamba magari au mabasi yao yanayotumika kusafirisha wanafunzi yanakuwa na vioo angavu na sio tinted.

Waraka huo umelenga kuboresha huduma za usafiri wa mabasi yanayotumika kusafirisha wanafunzi wakati wa kurudi ama kwenda shuleni, kufuatia uwepo wa watoa huduma katika magari hayo kuwa na tabia za viashiria vya kuleta mmonyoko wa maadili, kuathiri ukuaji, ujifunzaji na kuhatarisha ustawi wa watoto kiujumla.

Ikumbukwe hivi karibu kupitia mitandao ya kijamii ilisambaa video fupi ikionesha watoto wadogo waliokuwa kwenye gari la shule wakiimba nyimbo ambazo hazileti afya nzuri katika ukuaji na ustawi wa maadili kwao.

Chanzo: EATV
Ni nzuri lakin
 
Watoto wakifika home saa 9 alasiri TV nazo wasiweke channel za muziki... na watoto wa uzwazi wasiende vibanda umiza kucheki video za muziki na hadi zile za kikubwa..
Madada wa kazi wapewe semina.

Utandawazi una faida na hasara zake..watoto wanajua mambo.mengi kuliko tunavyodhani.
 
Sio tu kwenye mabasi ya shule, hata kwenye dalaladala na mabasi ya abiria.
Ni kweli,, unapanda basi la abiria wewe na wakwezo au binti zako,, mbere ya uso wako na hiyo jamii yako, zinawekwa video za watu wapo uchi nyimbo za kizinzi na mambo ya ovyo kabisa, na serikali ipo kimya,, hilo nalo mkaliangalie,,!
 
Kazi kweli...!!

Ukiniulizai mimi ningefumua baraza lote la sanaa..
Kuna nyimbo/ muziki ni kichocheo tosha cha kubomoa kizazi ..hasa watoto.

Issue sio kupiga marufuku ndani ya school bus..
Nani kakwambia hawazikilizi kwingineko...

Nyimbo za akina Diamond, Mario, Zuchu n.k.
Matusi waziwazi....halafu eti tunazuia ktk school bus pekee..

Wanamuziki (bongofavor),. Producers na Baraza la sanaa wanaochukua mziki kabla ya kupitisha..... Hawa ndio ndio wakala wa ushetani.

Hatujui ukubwa wa tatizo, hatujui vyanzo vya tatizo...Tupo ktk hatua za kubabaika tushike wapi..?
Ukweli tumeshachelewa sana.

Hakuna anaonyoshea kidole..... otherwise ni kwamba wenye dhamana ni mashahiki hizi nyimbo hakuna namna , hakuna pa kuhamia...
 
baraza la sanaa halifanyi kazi zake vizuri.... hata ukikataza nyimbo kwenye magari ya shule kama abdo zinapigwa kwenye radio na tv si wataona wakiwa nyumbani? ikumbukwe hawa watoto wengi wanatoka kwenye familia bora kabisa huko wana tv vyumbani kwao na radio za kila aina wengi huenda mbali zaidi na kuwanunulia watoto wao hadi simu.
note:
sisi waafrika ni sawa na mtu usiokuwa na mizizi. mtu asiyekuwa na utamaduni ni sawa na mti usio na mizizi yake
 
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa, na kusema kuwa wamiliki wote wa shule wenye kutoa huduma za usafiri kwa wanafunzi pia wahakikishe vitendo vya ukatili kwa wanafunzi wakiwa kwenye magari au mabasi vinakomeshwa.

Aidha Wizara ya Elimu pia imewataka wamiliki hao kuhakikisha kwamba magari au mabasi yao yanayotumika kusafirisha wanafunzi yanakuwa na vioo angavu na sio tinted.

Waraka huo umelenga kuboresha huduma za usafiri wa mabasi yanayotumika kusafirisha wanafunzi wakati wa kurudi ama kwenda shuleni, kufuatia uwepo wa watoa huduma katika magari hayo kuwa na tabia za viashiria vya kuleta mmonyoko wa maadili, kuathiri ukuaji, ujifunzaji na kuhatarisha ustawi wa watoto kiujumla.

Ikumbukwe hivi karibu kupitia mitandao ya kijamii ilisambaa video fupi ikionesha watoto wadogo waliokuwa kwenye gari la shule wakiimba nyimbo ambazo hazileti afya nzuri katika ukuaji na ustawi wa maadili kwao.

Chanzo: EATV
Matamko haya ya kisiasa ni utumbavu
 
Kazi kweli...!!

Ukiniulizai mimi ningefumua baraza lote la sanaa..
Kuna nyimbo/ muziki ni kichocheo tosha cha kubomoa kizazi ..hasa watoto.

Issue sio kupiga marufuku ndani ya school bus..
Nani kakwambia hawazikilizi kwingineko...

Nyimbo za akina Diamond, Mario, Zuchu n.k.
Matusi waziwazi....halafu eti tunazuia ktk school bus pekee..

Wanamuziki (bongofavor),. Producers na Baraza la sanaa wanaochukua mziki kabla ya kupitisha..... Hawa ndio ndio wakala wa ushetani.

Hatujui ukubwa wa tatizo, hatujui vyanzo vya tatizo...Tupo ktk hatua za kubabaika tushike wapi..?
Ukweli tumeshachelewa sana.

Hakuna anaonyoshea kidole..... otherwise ni kwamba wenye dhamana ni mashahiki hizi nyimbo hakuna namna , hakuna pa kuhamia...
Naunga mkono hoja.
 
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.

Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa, na kusema kuwa wamiliki wote wa shule wenye kutoa huduma za usafiri kwa wanafunzi pia wahakikishe vitendo vya ukatili kwa wanafunzi wakiwa kwenye magari au mabasi vinakomeshwa.

Aidha Wizara ya Elimu pia imewataka wamiliki hao kuhakikisha kwamba magari au mabasi yao yanayotumika kusafirisha wanafunzi yanakuwa na vioo angavu na sio tinted.

Waraka huo umelenga kuboresha huduma za usafiri wa mabasi yanayotumika kusafirisha wanafunzi wakati wa kurudi ama kwenda shuleni, kufuatia uwepo wa watoa huduma katika magari hayo kuwa na tabia za viashiria vya kuleta mmonyoko wa maadili, kuathiri ukuaji, ujifunzaji na kuhatarisha ustawi wa watoto kiujumla.

Ikumbukwe hivi karibu kupitia mitandao ya kijamii ilisambaa video fupi ikionesha watoto wadogo waliokuwa kwenye gari la shule wakiimba nyimbo ambazo hazileti afya nzuri katika ukuaji na ustawi wa maadili kwao.

Chanzo: EATV
Wasiishie tu kwenyw magari ya shule, bali hadi kwenye magari ya abiria yanayoweka nyimbi za hovyo na sinema za hovyo
 
Dah, mabaharia tujipange kwa ndoa
Kuna kila dalili viwanda kusimamisha uzalishaji!
 
Back
Top Bottom