digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Acha kuwa na mawazo mgando,si Kila anayehama anataka kuhamia mjini,Kuna watu wako dar wanataka warudi vijijini kwa sababu mbali mbali kama vile ugonjwa au kujiandaa kustafu.Hakuna mtu anataka kutoka mjini aende Kijijini
Wako wapi?Acha kuwa na mawazo mgando,si Kila anayehama anataka kuhamia mjini,Kuna watu wako dar wanataka warudi vijijini kwa sababu mbali mbali kama vile ugonjwa au kujiandaa kustafu.
Kuna jamaa mwaka Jana kahama toka ubungo kwenda geita vijijini.
Wivu unawasumbua. Hawapendi kuwaona wanandoa wakikaa pamoja.Waajiri wasimbe tu. Maana ni kama hawawazii ndoa za watu.
Tatizo serikali haipeleki maendeleo baadhi ya sehemu, kama wanataka watu wasihame at least waboreshe miundombinu na huduma za kijamii kila sehemu ili watu wasipakimbieMy Take
Kumekuwa na tabia ya watumishi waliopangiwa kazi mfano Nkasi au Malinyi au Kyerwa huko Kuhama Kwa visingizio mbalimbali.
Ambae hataki kazi aache arudi kwao Dar View attachment 3537602
Miundombinu ipo ,watu wa Dar ni muache kazi au muende kuhudumia watu VijijiniTatizo serikali haipeleki maendeleo baadhi ya sehemu, kama wanataka watu wasihame at least waboreshe miundombinu na huduma za kijamii kila sehemu ili watu wasipakimbie
Je kama Dodoma hakuna nafasi asiajiriwe?Mda mwingine sio fair. Mtu anaomba kazi anaandika anapenda kupangwa Dodoma, halafu wewd unaamua kumpanga Handeni. Wakati huo huo kuna mtu ametoka Handeni au Tanga, unamrusha Dodoma.
Sasa huo si uonevu?
UongoWao wenyewe kuhamia Dodoma hawataki 😅
Uongo,pamemshinda nani?Mean while wao dodoma tu hapo pamewashinda, kutwa ma V8 yanarudi DSM.
Viongozi wa hii nchi, ni Wajima sana.
Na kuna wengine ni wanabadilishana vituo vya kaziKuhama kituo cha kazi haipaswi kuwa kero, muhimu apatikane atakayeziba pengo la mtumishi anayehama (Replacement).
Kasumba tuu za ******* walizolishwa hukoInasikitisha sana kwamba Kuna sehemu kubwa ya nchi haitamainiki kuishi kwa wasomi.
Kwa mawazo haya,nawe watamani usimikwe na kutawazwa kuwa mkuu wa shule sioKama nawaona wakuu wa shule huko vijijini wakishangilia ushindi wa kuendelea kuwala wake za watu...
Swala ni wanahama Vijijini wanahamia mijini hasa hiyo Miji mikubwaTatizo watu wanahisi mtu akihama basi destination ni Dar mi naprefer kama nahama nihamie taasisi au wizara bila kujali nitakua mkoa gani.
Ukiacha miundombinu kuna sehemu ukifanya kazi majungu ni mengi halafu mpunga kidogo. Sasa mtu anajua akienda Dar michongo ya cash inaenda pia.
Ukiwa taasisi au wizara ndiyo kabisa
Hujaelewa umekimbilia kujibu. Yeye hajapangwa Dodoma, ila kuna mtu ametokea Handeni kapangwa Dodoma, na yeye aliyetaka kupangwa Dodoma amepelekwa Handeni.Je kama Dodoma hakuna nafasi asiajiriwe?