Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Siwezi kutembea na mke wa mtu maisha yangu yote. Nawaonea sana huruma wanaotembea na wake za watu kwasababu mwishowe ni mateso makubwa!Kwa mawazo haya,nawe watamani usimikwe na kutawazwa kuwa mkuu wa shule sio
Wewe ni mpuuzi usiyeweza kuelewa kwa nini nchi hii watu wengi wanaojielewa wanataka kuishi mjini hasa katika mikoa ya Dar, Mwanza, Arusha, Moro na Dodoma.Kasumba tuu za ******* walizolishwa huko
Hawezi kuelewa. Ataelewa vipi na ameikalia akili yake?Wewe ni mpuuzi usiyeweza kuelewa kwa nini nchi hii watu wengi wanaojielewa wanataka kuishi mjini hasa katika mikoa ya Dar, Mwanza, Arusha, Moro na Dodoma.
Kwa nini pamoja na ukosefu mkubwa wa ajira nchi hii wasomi hawataki kufanya kazi vijiji vingi vya nchi??Swala ni wanahama Vijijini wanahamia mijini hasa hiyo Miji mikubwa
Waulizwe waoKwa nini pamoja na ukosefu mkubwa wa ajira nchi hii wasomi hawataki kufanya kazi vijiji vingi vya nchi??
Sasa kama huelewei mambo ungetuliza bichwa lako kushangalia ujinga wa Chikwete Jr.Waulizwe wao
Uache bata la kitambaa cheupe, ukakae maporini huko, saa 12 mshalalaHakuna mtu anataka kutoka mjini aende Kijijini
Ndio usiingie kwenye utumishi Ili ubakie huko huko unakata maunoUache kitambaa cheupe, ukakae maporini huko, saa 12 mshalala
Yuko sahihi kabisa ,huwezi kufanya kazi andika barua ujiuzuluSasa kama huelewei mambo ungetuliza bichwa lako kushangalia ujinga wa Chikwete Jr.
Nyie wajinga badala ya kuachia halmashauri husika ziajiri watu mmejilimbikizia madaraka mnafanya uajiri wa wafanyakazu wa Nkasi, Tandahimba na Tukuyu huko Dodoma na Dar, upuuzi mtupu.Hakuna mtu anataka kutoka mjini aende Kijijini
Hapana, mimi nipo Mbeya huku nasoma. Ni jiji kabisa lakini miundombinu bado, na sio Mbeya tu miji mingi Tanzania miundombinu sio mizuri. Serikali ina kazi kubwa sana ya kufanya kuliko inavyofikiriaMiundombinu ipo ,watu wa Dar ni muache kazi au muende kuhudumia watu Vijijini
Haya sio majibu sahihi. Serikali inapaswa ianze kujenga vijijini na wilayaniNdio usiingie kwenye utumishi Ili ubakie huko huko unakata mauno
Ijenge nini?Haya sio majibu sahihi. Serikali inapaswa ianze kujenga vijijini na wilayani
Hali ni mbaya
Unataka kazi au miundombinu?Hapana, mimi nipo Mbeya huku nasoma. Ni jiji kabisa lakini miundombinu bado, na sio Mbeya tu miji mingi Tanzania miundombinu sio mizuri. Serikali ina kazi kubwa sana ya kufanya kuliko inavyofikiria
Na kama umepangwa ambako hupataki Kwann unaenda na hadi mkataba unasign?Sasa mbona unapoomba kazi wanakuambia uchague? Huyo anaesema chagua kituo cha kufanya kazi si ndo hajatumia akili??
Angepanga tu bila kuwaambia wati wachague.