Serikali yapiga Marufuku Uhamisho wa Watumishi

Aisee nimeshtuka ulupotaja Malinyi hivi unaijua wilaya ya malinyi vizur au unaongea tu watumishi wanatoboa huku hatari tena ukija huku kamwe hutakubali kuamishwa
Kwani wapi hawatoboi? Swala ni Vijijini
 
Ijenge nini?
Kwa vijijini
Wajenge barabara za lami, wachimbe visima na kusambaza maji, hospitali nzuri, shule nzuri pia waunganishe vizuri vijiji na miji kwa barabara na reli ili isiwe shida kusafiri. Mpaka leo kuna vijiji hii Tanzania kufika ni mpaka upite njia mbovu zenye mashimo. Mwaka jana nilisafiri kutoka Njombe mjini mpaka Manda (Lake Nyasa kabisa kule) via Ludewa. Aisee hali ni mbaya. Kule ni kama kumetengwa kabisa

Kama walivyoweka nguvu kubwa kusambaza umeme, basi wafanye hivyohivyo kujenga miundombinu vijijini na wilayani
 
Unataka kazi au miundombinu?
Nahisi hatuelewani, hata huelewi ninachoongelea. Kwa nini hutaki kutumia akili kuijadili hii mada yako kiundani
Unasema watumishi hawapendi kukaa baadhi ya sehemu na wanaomba wahamishwe. Wewe binafsi unadhani kwa nini ipo hivyo?
 
Na kama umepangwa ambako hupataki Kwann unaenda na hadi mkataba unasign?
Wanajikuta wanalazimika kusign lakini madhara yake ni kwamba hawatakuwa productive kazini. Kazi watazifanya bora liende, kitu kinachopelekea huduma za serikali kuendelea kuwa duni siku hadi siku.

Hiyo ndo picha kubwa ambayo wanaoshangilia jambo hili, ikiwemo waziri, na kitatange (ChoiceVariable ) huwa hawaioni.

Na impact ya watu kufanya kazi bora liende ni kubwa sana.
 
Hapana, mimi nipo Mbeya huku nasoma. Ni jiji kabisa lakini miundombinu bado, na sio Mbeya tu miji mingi Tanzania miundombinu sio mizuri. Serikali ina kazi kubwa sana ya kufanya kuliko inavyofikiria
Mbeya Mjini aisee kuna vumbi hatari, halafu bado wana nyumba za Udongo katikati ya. mji
 
Kwamba utafanya kazi bora liinde kwa miaka yote utakayokuwepo hapo kazini, let's say 30 years?
 
Aisee nimeshtuka ulupotaja Malinyi hivi unaijua wilaya ya malinyi vizur au unaongea tu watumishi wanatoboa huku hatari tena ukija huku kamwe hutakubali kuamishwa
Malinyi ipi hii ya Moro? Iliyo karibu na Mlimba?? Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nafikiri inategemea na circumstances
 
Kwamba Serikali imekosa Kwa kupeleka hela Hadi wajenge Barabara za lami Kijijini? Mengine yote yapo na wanaotakiwa kwenda kutoa Huduma huko kwenye mahospitali ndio nyie mnaotaka uhamisho
 
Watakutana na rungu la mwajiri wakiwa huko huko ikiwemo kufukuzwa kazi
 
Nahisi hatuelewani, hata huelewi ninachoongelea. Kwa nini hutaki kutumia akili kuijadili hii mada yako kiundani
Unasema watumishi hawapendi kukaa baadhi ya sehemu na wanaomba wahamishwe. Wewe binafsi unadhani kwa nini ipo hivyo?
Wamedekezwa watu waliozaliwa daslamu hawawezi enda namtumbo Kijijini bila kulazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…