Wewe hutaki Tanzania iendelee, comment zako nyingi zinaonesha unafurahia jinsi nchi ilivyo nyuma kimiundombinu, unaona sawa tuKwamba Serikali imekosa Kwa kupeleka hela Hadi wajenge Barabara za lami Kijijini? Mengine yote yapo na wanaotakiwa kwenda kutoa Huduma huko kwenye mahospitali ndio nyie mnaotaka uhamisho
Serikali Haina pesa za kuchezea kiasi kwamba ipeleke lami Vijijini wakati hadi Leo hii hakuna lami za Mkoa na Mkoa.Wewe hutaki Tanzania iendelee, comment zako nyingi zinaonesha unafurahia jinsi nchi ilivyo nyuma kimiundombinu, unaona sawa tu
Kwa hiyo vijijini lami haihitajiki, sio? Unakosa hata chembe ya uzalendo na ni nchi yako hii unayoiongelea hivyo. Bure kabisa!
Hili lilikuaga kosa kubwa sana kuiachia TAMISEMI&UTUMISHI kushikilia hizi ajira.Nyie wajinga badala ya kuachia halmashauri husika ziajiri watu mmejilimbikizia madaraka mnafanya uajiri wa wafanyakazu wa Nkasi, Tandahimba na Tukuyu huko Dodoma na Dar, upuuzi mtupu.
Kwa nini lilikuwa kosa kubwa??Hili lilikuaga kosa kubwa sana kuiachia TAMISEMI&UTUMISHI kushikilia hizi ajira.
Mtaenda tuu huko Tandahimba hutaki acha kazi.Nyie wajinga badala ya kuachia halmashauri husika ziajiri watu mmejilimbikizia madaraka mnafanya uajiri wa wafanyakazu wa Nkasi, Tandahimba na Tukuyu huko Dodoma na Dar, upuuzi mtupu.
Ni hivyohivyo mkuu.. ila ni siku nyingi kama unaishi na kufanya kazi sehemu usiyoipendaUtaratibu wa kuhama kituo si ni baada ya miezi 36, yaani miaka 3 kwa 1St employers??
Unapoomba kazi unaomba na kituo cha kupangiwa..?Kwa nini watu wanalazimishwa kufanya kazi maeneo wasiyoyataka??
KubayaaaaPakoje huko? Kuna shughuli za kilimo? Huwa napasikia tu
Hapo sawaaNi hivyohivyo mkuu.. ila ni siku nyingi kama unaishi na kufanya kazi sehemu usiyoipenda
We upo mwezi/mwaka wa ngapi huu kaziniHapo sawaa
We jamaa ungekua KM pale tamisemi waajiriwa wangekutandika mangumi kama mangungu 😁😁😁😁Hutaki kwenda Kijijini acha kazi
😂😂😂😂 nimehama kabla ya miezi 36.We upo mwezi/mwaka wa ngapi huu kazini
Taizo hawatakiwa watu wahame na miundombinu haiboreshwiTatizo serikali haipeleki maendeleo baadhi ya sehemu, kama wanataka watu wasihame at least waboreshe miundombinu na huduma za kijamii kila sehemu ili watu wasipakimbie
Wakati mwingine mwingine unaomba wakati mwingine hauombi na kituo cha kupangiwa, ila gavoo inaweza kukutua popote tu, unaweza kuomba Dar ukutupwa Kigoma.Unapoomba kazi unaomba na kituo cha kupangiwa..?
Sasa Mkuu mbona hutoi connection kwa vijana wanaohangaika na uhamisho..!!😂😂😂😂 nimehama kabla ya miezi 36.
Hayo ni maneno matupu, mbona sijawaji kusikia mwalimu amefukuzwa kazi kwa ufanyaji mbovu wa kazi ilihali ukizunguka vijijini unakutana na walimu wengi wazembe na wavivu.Watakutana na rungu la mwajiri wakiwa huko huko ikiwemo kufukuzwa kazi
Kuna kazi za viongozi kuzozana na Watumishi sio walimu.Hayo ni maneno matupu, mbona sijawaji kusikia mwalimu amefukuzwa kazi kwa ufanyaji mbovu wa kazi ilihali ukizunguka vijijini unakutana na walimu wengi wazembe na wavivu.
Shida ndio inaanzia hapa. Unapeleka watu wakafanye kazi sehemu haina maji, haina umeme, barabara ni vumbi tupu, zahanati ni moja tu tena ni below average na unajua hawawezi kukataa kwa sababu wanahitaji kazi.Taizo hawatakiwa watu wahame na miundombinu haiboreshwi
Na Tunapoelekea makao makuu nchi yatahamishiwa Chalinze Msoga au Kizimkazi Zanzibar(Joking🤪🤪)Wao wenyewe dodoma pamewashinda, pamoja na kua ni mjini
Au sio, Wanafanya kazi wakisubiri tu Uhakika mshahara lakini ufanisi/efficiency 10%Wanajikuta wanalazimika kusign lakini madhara yake ni kwamba hawatakuwa productive kazini. Kazi watazifanya bora liende, kitu kinachopelekea huduma za serikali kuendelea kuwa duni siku hadi siku.
Hiyo ndo picha kubwa ambayo wanaoshangilia jambo hili, ikiwemo waziri, na kitatange (ChoiceVariable ) huwa hawaioni.
Na impact ya watu kufanya kazi bora liende ni kubwa sana.