Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

Huyo Thabit Kombo si ndio yule aliyehojiwa na Aljazeera ile tarehe 30 akakataa kuwa eti hapakuwepo na matumizi ya nguvu kuzuia waandamanaji na pia akakataa eti hakuna aliyekufa?

Nafikiri baada ya shetani samiya mzanzibar anayefuata kwa kumchukia ni huyu mjinga na kingereza chake cha pre-form one
 
Huyo Thabit Kombo si ndio yule aliyehojiwa na Aljazeera ile tarehe 30 akakataa kuwa eti hapakuwepo na matumizi ya nguvu kuzuia waandamanaji na pia akakataa eti hakuna aliyekufa?

Nafikiri baada ya shetani samiya mzanzibar anayefuata kwa kumchukia ni huyu mjinga na kingereza chake cha pre-form one
Ndo huyo huyo!

Wote mafala tu hao.
 
Vitu vingine ni AIBU. WAZIRI UNAPIGA PICHA KUPONGEZA KUPOKEA MSAADA WA MAGARI MAWILI!

Na Hawa ndio mnategemea watakuja na ubunifu wa kuipaisha nchi kimataifa!
Sasa kama waziri mwenyewe ni kilaza na tena ni kilaza kuliko hata boss wake unastahajabu kwa hili alilolifanya?

Hivi kwanza ulishawahi kumskia huyu Thabit Kombo akiwa anajibu maswali ya waandishi wa habari hasa wa nje?

Yaani hawa wazanzibari ni weupe vichwani mpaka inaumiza kuona wanaendelea kututawala.
 
Ndo huyo huyo!

Wote mafala tu hao.
Aisee alinikera sana huyu mbwa na ninamchukia mpaka basi.

Mimi hiyo siku nimetoka kushuudia watu watatu wakipigwa risasi, naingia ndani nakutana na Aljazeera trending news wanalionesha hili jamaa eti linakanusha polisi kutumia nguvu kupita kiasi, likasema na sababu ya kuzima internet kuna watu wachache wanafanya vandalism wakisaidiwa na internet..

Yaani liliongea utumbo hili fala...!! nalichukia mpaka basi.
 
Baada ya kuboronga ulama sasa rasmi wainhia kwa waarabu asee wamepewa na magari kbs ya bure bure
View attachment 3508420
IMG-20251127-WA0038.jpg
 
Aah fedhea nyingine kwani ni lazima mtuaibishe nchi nzima? Hata David mosha au doto magari angeweza kutoa hizo gari 2 jamani aibu nyingine ndogondogo tujaribu kuziepuka.
 
Mnapiga hadi picha eti kwa kupewa magari mawili ya msaada! Nawaza yale mamia mengine mliyowahonga wakuu wote wa idara nchini, hela za kununulia mlizitoa wapi?
 
𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini.

Qatar kama mshirika wa maendeleo ya uchumi wa Tanzania alikubali ombi na ametoa magari hayo mapya kufuatia ombi la magari na pikikipiki za kuhudumia viongozi wa nje wawapo katika ziara nchini huku wakiendelea na mchakato wa kuleta pikipiki sita.

Akizungumza katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam baada ya kukabidhiwa nyaraka za magari hayo, Mheshimiwa Waziri, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameishukuru Qatar kwa kuwa mdau mkubwa wa maendeleo Tanzania na kuahidi kutumia vyema misaada hii ili kuweza kutatua changamoto zinazojitokeza katika kazi.

Akimkabidhi funguo za magari hayo Afisa Usafirishaji Mkuu, Bw. Maulid Mkenda, Mhe. Waziri Kombo amehimiza kuyatunza magari hayo ili yadumu na kuleta tija na ufanisi.

Qatar pia imekuwa ikitoa ushirikiano katika masuala ya ajira kwa vijana kwa kutoa nafasi za ajira kwa madereva wa Kitanzania nchini Qatar huku nafasi nyingine zikiendelea kuja na kutangazwa.

Pamoja na Pilipili SITA kunazosubiria..
 
Back
Top Bottom