Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Astaghafirullah!Baada ya kuboronga ulama sasa rasmi wainhia kwa waarabu asee wamepewa na magari kbs ya bure bure
View attachment 3508420
Namuona hapo Musa Kilaza..Baada ya kuboronga ulama sasa rasmi wainhia kwa waarabu asee wamepewa na magari kbs ya bure bure
View attachment 3508420
Imebidi nicheke..Lazima kuna watu watafir*wa. Mwarab ni noma. Hatoagi vitu bure kama Mzungu
Ndo huyo huyo!Huyo Thabit Kombo si ndio yule aliyehojiwa na Aljazeera ile tarehe 30 akakataa kuwa eti hapakuwepo na matumizi ya nguvu kuzuia waandamanaji na pia akakataa eti hakuna aliyekufa?
Nafikiri baada ya shetani samiya mzanzibar anayefuata kwa kumchukia ni huyu mjinga na kingereza chake cha pre-form one
Sasa kama waziri mwenyewe ni kilaza na tena ni kilaza kuliko hata boss wake unastahajabu kwa hili alilolifanya?Vitu vingine ni AIBU. WAZIRI UNAPIGA PICHA KUPONGEZA KUPOKEA MSAADA WA MAGARI MAWILI!
Na Hawa ndio mnategemea watakuja na ubunifu wa kuipaisha nchi kimataifa!
Aisee alinikera sana huyu mbwa na ninamchukia mpaka basi.Ndo huyo huyo!
Wote mafala tu hao.
Baada ya kuboronga ulama sasa rasmi wainhia kwa waarabu asee wamepewa na magari kbs ya bure bure
View attachment 3508420
Pamoja na Pilipili SITA kunazosubiria..๐ช๐ฎ๐๐ถ๐ฟ๐ถ ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ผ ๐ฎ๐ฝ๐ผ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐บ๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ ๐ธ๐๐๐ผ๐ธ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini.
Qatar kama mshirika wa maendeleo ya uchumi wa Tanzania alikubali ombi na ametoa magari hayo mapya kufuatia ombi la magari na pikikipiki za kuhudumia viongozi wa nje wawapo katika ziara nchini huku wakiendelea na mchakato wa kuleta pikipiki sita.
Akizungumza katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam baada ya kukabidhiwa nyaraka za magari hayo, Mheshimiwa Waziri, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameishukuru Qatar kwa kuwa mdau mkubwa wa maendeleo Tanzania na kuahidi kutumia vyema misaada hii ili kuweza kutatua changamoto zinazojitokeza katika kazi.
Akimkabidhi funguo za magari hayo Afisa Usafirishaji Mkuu, Bw. Maulid Mkenda, Mhe. Waziri Kombo amehimiza kuyatunza magari hayo ili yadumu na kuleta tija na ufanisi.
Qatar pia imekuwa ikitoa ushirikiano katika masuala ya ajira kwa vijana kwa kutoa nafasi za ajira kwa madereva wa Kitanzania nchini Qatar huku nafasi nyingine zikiendelea kuja na kutangazwa.
RindaSisi tumewapa nini ili watupatie hayo magari?