Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Sina uhakika kama zitatumika kama makusudio yake.
 
Serikali inunue ventilators nyingi na kuzisambaza Amana na Mloganzira, hizo ndo zitasaidia kwa wale wenye matatizo ya kupumua.. Haiingii akilini Amana ina Ventilator moja tuu wakati accprding to Waziri Ummy, ventilator moja ina thamani ya Milioni 56 tuu..
 
Vipi maendeleo ya wagonjwa kuna taarifa zozote?
 
Hizo zitaenda kwenye SGR na Stiglers George.Hiyo misaada haiwafikii wananchi.
Jiulize maiti zinakaa barabarani masaa zaidi ya 24 kwa nini?
 
Tatizo siyo michango tatizo ni kuwa na serikali isiyojali, mama yangu nakuhakikishia hizo pesa zinaenda kwenye miundo mbinu.nHuyu alishakula pesa za tetemeko, tuna historia hatuzungumzi toka hewani.
 
waziri amekuja kivingine


wagonjwa wapya hakuna
wanaopona hakuna
wanaorudisha jezi hakuna
walioko quarantine hakuna

waziri ummy toa update ya uwanja wa vita
 
Mzee ataziomba. Kama zile za matetemeko Kagera. Hatujasahau.
 
Kuna mtu atakuja kutuambia na hizo hela walizotupa zilikuwa na makorona.

Hizo hela sijui kama zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
Tuombe zisipangiwe matumizi mengine tuu
 
Idadi ya wagonjwa na vifo mpaka sasa ni ngapi?mbona hatutangaziwiiii for god sake
 
Ahsante kwa utoaji.
Ni vyema zitumike kadiri ipasavyo.
Hizi habari za vifaa kuungua, n.k
 
Back
Top Bottom