Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Mh.....
Mungu awabariki waliotoa kwa Moyo, ila serikali nayenyewe isipende kupokea tu na yenyewe ijue kutoa.

Mfano, Serikali inaweza kabisa kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wake kipindi hiki ambacho shuhuli nyingi za uzalishaji zimesimama ikiwa ni pamoja na ajira kusitihwa, serikali ikiamua inaweza kupunguza gharama za umeme, Maji, kodi mbalimbali nk.
haina pesa
 
I swear you have the ability to rise above this stupidity!! Kwanini hujamshinda adui ujinga, inashangaza. Ni lini tutaacha kuona kila kitu kwa macho ya kisiasa? Kuichukia kwako Chadema au kukipenda chama kingine chochote hakukufanyi uwe salama.

Tafadhali - amua kuwa na manufaa katika dunia hii. Upumbavu unakupunguzia purpose ya kuishi. Make this place a better place than you found it!!
huyu jamaa kaandika kibaya kipi mkuu, mbona kama umechanganya madesa?
 
Report ya CAG itahukumu. Most of this money will be unaccounted for. Kama ile 1.5T
 
Kadema wanajisikia vibaya kwa habari hii utadhani wanaishi Mars! Kwao habari nzuri ni ile ya Benki ya dunia yainyima Tanzania mkopo wa kupambana na corona! AIBU YENU!
Hizi hela bora tuzipeleke SGR na Stigler
 
Tanzania ni miongoni mwa nchi 70 zilizopewa hela na @GlobalFund kupambana na corona! Hela itumike kununua PPE kama ilivyoelekeza

Tusisumbuane kwenye mambo mepesi hivi na tuepuke WIZI unaotaka kufanywa kwa mgongo wa MAT

GF.jpg

​

Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, UMMY MWALIMU ameyasema hayo leo wakati akipokea msaada wa fedha na lita 1,250 za vitakasa mikono ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na maambukizi ya virusi vya CORONA.

Waziri UMMY amefafanua kwamba Global Fund imetoa shilingi Bilioni 14, Airtel Tanzania shilingi milioni 700 na Rotary Club Tanzania shilingi milioni 250.

Waziri amesema ushiriki wa kila mdau katika mapambano dhidi ya maambikizi ya virusi vya CORONA ni muhimu na kwamba msaada uliotolewa na kampuni hizo ni mkubwa katika mapambano ya maambukizi ya ugonjwa wa CORONA.

Amesema kuwa Kipaumbele cha Serikali ni kuwalinda watumishi wa Afya kwa kununua vifaa kinga na kwamba fedha hizo watazielekeza kwenye ununuzi wa vifaa kinga kwa ajili watumishi wa afya, ambapo pia ametumia fursa hiyo kuwashukuru Watumishi hao ambao wamekuwa wakijitoa usiku na mchana katika kutoa huduma kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya CORONA pamoja na wale wahisiwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20200503-091442.png
    Screenshot_20200503-091442.png
    141.1 KB · Views: 9
Unaliza swali hapa Jamiiforums au unatoa taarifa?

By the way, kazi ya copy & paste unaifanya vizuri sana!

Yaani kwa asubuhi hii umeanzisha thread zaidi ya tano!

Unahitaji nyongeza ya malipo kwa kazi unayofanya!

Kutafuta habari facebook, instagram na twitter ni kazi ngumu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jibu swali, hizo pesa mlizopewa na GlobalFund ziko wapi?

Msijaribu kuitumia Corona kuwaibia watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaliza swali hapa Jamiiforums au unatoa taarifa?

By the way, kazi ya copy & paste unaifanya vizuri sana!

Yaani kwa asubuhi hii umeanzisha thread zaidi ya tano!

Unahitaji nyongeza ya malipo kwa kazi unayofanya!

Kutafuta habari facebook, instagram na twitter ni kazi ngumu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jibu hoja acha upumbavu.

Wachawi na mashetani utawajua tu, ndio awamu hii pesa za majanga huliwa na kuchangisha raia
 
Unaliza swali hapa Jamiiforums au unatoa taarifa?

By the way, kazi ya copy & paste unaifanya vizuri sana!

Yaani kwa asubuhi hii umeanzisha thread zaidi ya tano!

Unahitaji nyongeza ya malipo kwa kazi unayofanya!

Kutafuta habari facebook, instagram na twitter ni kazi ngumu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jikite kwenye mada,acha mbwembwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaliza swali hapa Jamiiforums au unatoa taarifa?

By the way, kazi ya copy & paste unaifanya vizuri sana!

Yaani kwa asubuhi hii umeanzisha thread zaidi ya tano!

Unahitaji nyongeza ya malipo kwa kazi unayofanya!

Kutafuta habari facebook, instagram na twitter ni kazi ngumu!

Sent from my iPhone using JamiiForums

We dogo huwa unaniachaga hoi sana, hapo ndio umemaliza utetezi wa hiyo hoja ya mleta post! Halafu umeanza kuwa kiazi ukiwa mdogo, sipati picha ukizeeka itakuwaje.
 
Kama fedha zimetolewa toka nje ya ili kukabiliana na janga la Corona nchini, uwazi wa matumizi yake ni jambo la msingi, na kuna kila sababu ya watu wenye taarifa pia kuhoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom