Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

Tunashukuru sana Airtel kwa mchango wenu bado nawakumbusha tu taasisi za dini na nyie changieni jamani
Kabisa, jamaa wanajua kuokota tu sadaka na kutoa matamko yasiyo na mbele wala nyuma, hasa haya makanisa ya mwendokasi, japo kuna makanisa (taasisi) yamefanya makubwa katika jamii. Kwa upande wa Misikiti siiongelei maana ntaongopa, sielewi operations zao zinakwendaje.
 
Aisee sisi bora tungeletewa izo mavifaa sjui makilakitu yanayohitajika ila sio kupewa pesa

Janja janja ipo apo lazima iwepo

Anyway
Tujifukize na tangawizi na limau
 
Kama ni wiki sasa no new cases maana yake COVID 19 imedhibitiwa tayari, sasa misaada wanapokea ya nini huku tumeishinda?
Wasije kuipiga panga nyingine wakaiweka kwenye kapu la kijani kwaajili ya uchaguzi mkuu 2020
 
Wapumbavu sana hawa watoa michango,
sijuhi ni kwa nini wanashindwa kununua vifaa ndio wakabizi badala yakutoapesa.
Pesa zinapangiwa matumizi mengine hizo Chato.
 
Kama hatuna maambukizi mapya, hatuna vifo, na watanzania wanajifukiza huku wakichapa kazi, hiyo mibilioni wanaipokea ya nini??

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Tunashukuru sana Airtel kwa mchango wenu bado nawakumbusha tu taasisi za dini na nyie changieni jamani

I swear you have the ability to rise above this stupidity!! Kwanini hujamshinda adui ujinga, inashangaza. Ni lini tutaacha kuona kila kitu kwa macho ya kisiasa? Kuichukia kwako Chadema au kukipenda chama kingine chochote hakukufanyi uwe salama.

Tafadhali - amua kuwa na manufaa katika dunia hii. Upumbavu unakupunguzia purpose ya kuishi. Make this place a better place than you found it!!
 
Mkuu kwenye post yangu pale uliona nimeweka neno lolote la siasa zaid ya kuzungumzia kuhusu taasisi za dini!!?
Je hao chadema unaowazungumzia wewe wanauhusiano gani na post yang!!?
 
Back
Top Bottom