guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,762
Duh!Hii misaada haitufikii Wananchi. Mbona bei za Barakoa bado ni ghari?
Wanaoteseka ni wananchi wakiwemo Ccm wenzako wanaoumwa na kufa kwa Vivid 19! Wanaoteseka ni madaktari na wauguzi wanaokosa vifaa vya kazi! We unaiwaza Chedema wakati Corona inachanga mbuga kuenea Tz! R.I.P Dc Mmanda
Kabisa, jamaa wanajua kuokota tu sadaka na kutoa matamko yasiyo na mbele wala nyuma, hasa haya makanisa ya mwendokasi, japo kuna makanisa (taasisi) yamefanya makubwa katika jamii. Kwa upande wa Misikiti siiongelei maana ntaongopa, sielewi operations zao zinakwendaje.Tunashukuru sana Airtel kwa mchango wenu bado nawakumbusha tu taasisi za dini na nyie changieni jamani
Badala ya kufa na korona unaweza kujikuta unakufa kwa sababu ya matatizo ya moyo na stroke, mda mwingi unahangaika kuzuia nature na actuality badala ya ku cope with situation.
Kwani hii misaada imetoka nchi jirani?Ndege tunanunua kwa pesa taslimu na maneno juu ila mambo ya msingi tunasubiri misaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru sana Airtel kwa mchango wenu bado nawakumbusha tu taasisi za dini na nyie changieni jamani
Mkuu kwenye post yangu pale uliona nimeweka neno lolote la siasa zaid ya kuzungumzia kuhusu taasisi za dini!!?I swear you have the ability to rise above this stupidity!! Kwanini hujamshinda adui ujinga, inashangaza. Ni lini tutaacha kuona kila kitu kwa macho ya kisiasa? Kuichukia kwako Chadema au kukipenda chama kingine chochote hakukufanyi uwe salama.
Tafadhali - amua kuwa na manufaa katika dunia hii. Upumbavu unakupunguzia purpose ya kuishi. Make this place a better place than you found it!!