Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

Hizi pesa za kodi tunazokamuliwa,kwanini zisingetumika kuukarabati huo uwanja?
Kila mara kusaini mikataba,kusaini mikataba.
 
Kwa hiyo huu uachwe uharibike?

Kwani sasa umeharibika?.. matengenezo sio kwa kila kilicho haribika ata kuboresha ni matengenezo.

Ule uwanja ubakize matukio muhimu, itapunguza maintenance na itaongeza ubora. Wewe uwanja hadi kwaya zinajimwaga humo, mihadhara, vilabu
 
Hauko sawa mkuu, ikiwa uwanja ulijengwa 2007, unahitaji ukarabati mkubwa sana

Ukarabati mkubwa unaitaji sababu ya uharibifu wetu ata tukarabati vipi. Ule uwanja kila mwaka unafanyiwa ukarabati kama maboresho ya majukwaa.

Kikubwa tu diversify matumizi, haiwezekani kwaya, mihadhara, vilabu vyote viko hapo hapo. Mbona uhuru unadumu?
 
Kwani sasa umeharibika?.. matengezo sio kwa kila kilocho haribika ata kuboresha ni matengenezo.

Ule uwanja ubakize matukio muhimu, itapunguza maintenance na itaongeza ubora. Wewe uwanja hadi kwaya zinajimwaga humo, mihadhara, vilabu
Hutashuhudia kwaya wala matamasha mule baada ya marekebisho hata Simba na Yanga zitakutana pale kama zinacheza kati yao tu
 
kuwa serious Mkuu.... "VILE VYA AZAM VIWILI HADI VITATU...."
fuatilia ule uwanja wa azam wamejenga kwa sh ngap utashangaa.......

kwa lengo la kuongeza ufahamu, fuatilia turkey wanajenga viwanja zaidi ya 30 vipya (vingine vinaendelea kujengwa), angalia gharama zake na viwanja vyenyewe picha zipo utashangaa
 
Vitu vyote hivyo vinavyofanyiwa ukarabati bado unasema upigaji mkubwa!?..ile tv ya matokeo na mifumo yake Bei gani!?..watifue sehemu ya kuchezea,vitu vipya elfu 55,sehemu ya kukimbilia nk
Hii sehemu ya kuchezea si imetoka kutifuliwa juzi tu
 
Nimeikuta mahali!!!!!!!!!! Tukiamua tunaweza kuwa na viwanja vya kisasa!!!!!!!!!!!!


The cost to build a professional soccer stadium can vary between $10 million to $1.5 billion. Smaller stadiums for lower-division clubs may cost $10-$50 million of dollars to construct, while larger stadiums for top-division clubs can cost everything from a hundred to over a billion dollars.

The Cost of Building a Soccer Stadium (With 7 Real Examples)​


Soccerprime
https://soccerprime.com β€Ί cost-of-building-a-soccer-stadi...
 
Kuna harufu ya kupigwa
Tshs 30bn unajenga uwanja wa watu 30k, mupyaaaa.
 
Ile tv tu na mifumo yake Bei gani!?..vitu uwanja mzima?!
Hivyo viti vina shida gani mpaka wavitoe? Ukarabati ulitakiwa kufanyika kwenye miundombinu ya maji, vyooni, kupaka rangi, na kuendelea kuiboresha pitch.

Halafu hiyo TV iliwahi kufanya kazi tangu ilipofungwa? Na kwa nini walioiweka wasiwajibishwe kwa utapeli?
 
Vitu vyote vinafanana rangi,vile vilivyorudishiwa vinafanya uwanja unakua Kama nguo yenye viraka,tv huko nyuma tukiangalia Sana matangazo ya Serengeti na stars,na huwa inaonesha muda na matoleo ukiwa uwanjani,ile tv scoreboard inafika Hadi Dola laki Saba unusu,kumbuka uwanja una umri wa zaidi ya miaka 15 sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…