PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ndiyo ameshatoboa kimaisha huyoNireteeeni Mwana FA
Nireteeeeeeni Mwana FA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ameshatoboa kimaisha huyoNireteeeni Mwana FA
Nireteeeeeeni Mwana FA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
inatafutwa hela ya uchaguzi kwa udi na uvumbaUpigaji tu. Unakarabati kitu kwa nusu ya gharama yake ya upya??
Daaah ccm kwa upigaji ni namba moko,yani babu,bibi,baba mama,watoto wajukuu,vitikuu wote weziWizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
si wajenge tu mpya? hela yote hiyo wanakarabati nini kwenye nchi masikini hii? au labda, hela inatoka wapi? kama inatokana na viingilio (TFF) hapo sawa, ila isitoke kwenye kodi zetu aisee. naomba MUngu hela nyingine isijekuwa imeongezwa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mwaka kesho na keshokutwa.Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
Uwanja uliojengwa kwa 60bil unakarabatiwa kwa 31bil (52%).Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
Nilijua hilo mapema kbs baada ya kupata hbr ya ukarabati!! CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
Hela yoyote ya serikali kama sio msaada basi ni kodi tu either direct or indirectlysi wajenge tu mpya? hela yote hiyo wanakarabati nini kwenye nchi masikini hii? au labda, hela inatoka wapi? kama inatokana na viingilio (TFF) hapo sawa, ila isitoke kwenye kodi zetu aisee. naomba MUngu hela nyingine isijekuwa imeongezwa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mwaka kesho na keshokutwa.
hiyo ni hela ya uchaguzi hiyo, si ukute ukarabati ukatumia bilioni moja au mbili tu, zilizobaki zote kwenye kapu la kampeni. kwani hatuwajui sisiemu?Hela yoyote ya serikali kama sio msaada basi ni kodi tu either direct or indirectly
Ukute aisee.hiyo ni hela ya uchaguzi hiyo, si ukute ukarabati ukatumia bilioni moja au mbili tu, zilizobaki zote kwenye kapu la kampeni. kwani hatuwajui sisiemu?
Yeye mwenyewe ana mgao wake hapo.Amka mama, amka. this is too much
Hii pesa inatosha kujenga uwanja mwingine mkubwa MbeyaWizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
sahihi kabisa uki consider inflationIkumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??