Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

Watanzania ni kundi la wapumbavu, wao ndo walikuwa wanailalamikia serikali kuwa uwanja mbovu.
Leo serikali inatengeneza hawajasoma hata nini kinatengenezwa na nani atalipia nini ila wanalaumu na kutoa matusi.
Kila kitu tunalaumu, hatuna jema hata moja.
 
Vitu vyote vinafanana rangi,vile vilivyorudishiwa vinafanya uwanja unakua Kama nguo yenye viraka,tv huko nyuma tukiangalia Sana matangazo ya Serengeti na stars,na huwa inaonesha muda na matoleo ukiwa uwanjani,ile tv scoreboard inafika Hadi Dola laki Saba unusu,kumbuka uwanja una umri wa zaidi ya miaka 15 sasa
Haya bhana. Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
 
SELIKALI inashindwa kujenga kiwanja Dodoma kwa Dola Milioni 600

Hela wanazotuibia hakuna Cha maana wanacho fanyia.

LAANA TU.
SHETANI.
Pale nane nane Kuna ujenzi unaendelea cjajuwa ndio matayarisho ya kupata uwannja mpya
 
Billion 30 si tungejenga kiwanja kingine kidogo kidogo. Kika specialize kwenye mpira ata kama kile cha azam.

Tanganyika packers pangefaa zaidi
Tunatakiwa Tuwe na Uwanja Wenye Hadhi ya FIFA,Kikijengwa kiwanja Kama cha Azam kwa Hiyo Pesa tutakuwa na viwanja vingi visivyo na hadhi ya kimataifa Mkuu
 
Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.

Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
F641E8E0-EE6B-41B3-AD36-91325963E0EA.jpeg
 
Waweke bango ya led kule pembeni
Siti ziwe na namba sio saa hii za kuwahiana
Bei ziwe kubwa ili kuweka ustaraabu matamasha ya Bure yasipewe kipaumbele
 
Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.

Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
Upigaji tu. Unakarabati kitu kwa nusu ya gharama yake ya upya??
 
Ni dharau kubwa ,hakuna ukarabati ambao unatumia nusu ya gharama ya ujenzi
 
Bora wakarabati huo uwanja waibe kuliko kuiba bila kufanya kitu kama ilivyo desturi yetu!
 
ALooooooooo.
narudia tena kamati ya upigaji ipo kazini.
natamani ningekuwa miongoni mwa wapigaji maana hao jamaa wanaenda kupiga pesa ndefu sanaaa
 
Back
Top Bottom