Mwehu yulesasa Chalamila alikuwa anasema nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwehu yulesasa Chalamila alikuwa anasema nini
Sidhani Kama anakosa Ila nacho jua ki uwajibikaji lazima ata step down ili kuonyesha uwajibikaji..Akimaliza masaa 24 kwenye U RC nitajua uchawi upo
Kwamba wewe ndio unateuwa maajabu nayaona huyo yupo mpaka aliyemteua atakapojisikia kumtoaAkimaliza masaa 24 kwenye U RC nitajua uchawi upo
Muulize MakallaKwamba wewe ndio unateuwa maajabu nayaona huyo yupo mpaka aliyemteua atakapojisikia kumtoa
Nimuulize makala kupewa majumu ya kuwa kiongozi wa chama dume,chama tawala ?Muulize Makalla
Mfanyabiashara wa standard 7 asome Income tax Act,Finance Act,Tax Administration Act? Mkuu hauko serious.Kwa wenzetu hawadeal na sijui efd etc wanaangalia profit na income Yako.Kwetu mifumo haiko sawa TRA akienda kwenye Duka la mtu anaangalia turnover ya machine kukadilia Kodi that is very wrong.Kiwango cha Kodi kinapaswa kupimwa kwenye profit earning.Ukiangalia machine kwa wafanyabiashara wanaopenya hapa hapa bongo maana anaenda kuchukua dozen 5 kwenye duka nyingine anachukua faida ya 1000 tu nguo anuza 18000 akimaliza kuuza anarudi tena mwisho faida labda 20000 lakini turnover inasoma laki Tano.TRA anakimbulia laki Tano na sio 20000 na hadi tatizo linaanzia.Tax rates anapanga waziri kila mwaka kupitia ‘finance act’ hiyo ndio inaamua rates za income tax, VAT na import duties; pamoja na misamaa au nafuu za biashara serikali inazitoa.
Sasa humo waziri na team yake ya mipango wao ndio wanajua wanalenga nini kwenye fiscal policies zao, targets za uchumi, social policies, kuondoa inequality kwenye jamii, public goods and so on kilicho important kama kipaumbele chao huko serikalini na kwenye chama chao.
Maana yake ni you can’t ‘copy and paste’ finance act ya nchi nyingine (ambayo inapanga kodi) kkwa vipaumbele vya nchi tofauti havifanani wala mtazamo wa kugawana keki ya taifa aufanani.
However Income Tax act na VAT acts (hizi zinaweza fanana na nchi nyingi, ni sheria lakini zipo sana kufuata accounting standards za dunia) na uwa azibadiliki sana ni kwa ajiri ya administration purposes za kodi, kikubwa zinaelezea taratibu za kukusanya kodi information ambazo TRA na person (hilo ndio jina la kikodi kwa biashara ndogo), biashara kikodi ni (usajili wa public or private listed companies).
Shida ya wafanyabiashara wengi hawajasoma hizo sheria za (VAT and Income tax acts) hapo ndipo wanaposhindwa kuelewa hatua za TRA na kudhani wanaonewa.
Moreover kila ‘finance act’ mpya inapoanza kazi, TRA kupitia site yao (ambayo design view yake ni mbaya with so much clustered information inahitaji maboresho) uwa wanaweka necessary info kwenye website yao. Kule unapata info kama za import duties ya bidhaa mbali mbali, VAT zote fully, reduced rates and zero rated products, kuna maelezo ya kupiga hesabu mbali mbali za kodi.
Wakija sasa kama ni hesabu za kodi unatakiwa kujua finance act inasemaje kuhusu hiyo bidhaa VAT rate gani, import duty ni kiasi gani etc. Same kama ni income tax unatakiwa kujua how they calculate turnover ya chini tsh 100 na what changes ukizidisha.
Routine zingine za kuandaa vitabu vya biashara na jinsi TRA watakavyodai (fanya kazi ya kukusanya kodi) soma sasa ‘VAT na Income tax’ acts. Wafanyabiashara wa Tanzania they don’t read those acts wakitoka hapo wanalaumu TRA kwa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.
Wanadekezwa hao na Samia Kwa sababu Kila kitu anawasikiliza.
Rais angekuwa Magu au Makonda au Mwigulu na PM Chalamila hakuna rangi wangeacha kuona
View: https://www.instagram.com/reel/C8mEzRNN7QA/?igsh=aDNoeDhzdTh2b3czView attachment 3024811
tulimg'oa Dar kwa fitna zetuNimuulize makala kupewa majumu ya kuwa kiongozi wa chama dume,chama tawala ?
Kuna mahala nimeandika hizi biashara nyingi ni holela ndio shida ilipo pia.Mfanyabiashara wa standard 7 asome Income tax Act,Finance Act,Tax Administration Act? Mkuu hauko serious.Kwa wenzetu hawadeal na sijui efd etc wanaangalia profit na income Yako.Kwetu mifumo haiko sawa TRA akienda kwenye Duka la mtu anaangalia turnover ya machine kukadilia Kodi that is very wrong.Kiwango cha Kodi kinapaswa kupimwa kwenye profit earning.Ukiangalia machine kwa wafanyabiashara wanaopenya hapa hapa bongo maana anaenda kuchukua dozen 5 kwenye duka nyingine anachukua faida ya 1000 tu nguo anuza 18000 akimaliza kuuza anarudi tena mwisho faida labda 20000 lakini turnover inasoma laki Tano.TRA anakimbulia laki Tano na sio 20000 na hadi tatizo linaanzia.
So, you believe in TRA door to door tax collections, instead of using dedicated systems?Wafanyabiashara have not gained much. Walichofanya ni ku delay makali . Serikali wa ache unafiki. Wanategemea TRA wataweza ku meet targets zao za tax collection kama the government does support them. I believe wako watu wanaweza ku replace hao wafanyabiashara.