Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

Mfanyabiashara wa standard 7 asome Income tax Act,Finance Act,Tax Administration Act? Mkuu hauko serious.Kwa wenzetu hawadeal na sijui efd etc wanaangalia profit na income Yako.Kwetu mifumo haiko sawa TRA akienda kwenye Duka la mtu anaangalia turnover ya machine kukadilia Kodi that is very wrong.Kiwango cha Kodi kinapaswa kupimwa kwenye profit earning.Ukiangalia machine kwa wafanyabiashara wanaopenya hapa hapa bongo maana anaenda kuchukua dozen 5 kwenye duka nyingine anachukua faida ya 1000 tu nguo anuza 18000 akimaliza kuuza anarudi tena mwisho faida labda 20000 lakini turnover inasoma laki Tano.TRA anakimbulia laki Tano na sio 20000 na hadi tatizo linaanzia.
 
Kuna mahala nimeandika hizi biashara nyingi ni holela ndio shida ilipo pia.

Elewa unapoenda kuomba TIN number na kusajili biashara Brella, kuanzia hapo sheria husika za biashara zinakuhusu.

Either utafute muhasibu, nenda sehemu ya ushauri wa biashara (ukapewe abc) au nenda kwenye seminar za TRA.

Kutokujua sheria aina maana unakuwa excused ufanye mambo unavyadhani wewe ndio sahihi badala ya kufuata sheria.

Ni huko kutokufahamu sheria kama umemsikiliza mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo ndugu ‘Martin Mbwana’ kulalamikia TRA kufuta madai ya marejesho ya VAT ya wafanyabiashara.

Halafu mwenyekiti huyo-huyo anashangaa TRA kumrudia mfanyabiashara husika aliekuwa anataka TRA imlipe tsh 30 million, kwenda kuhakiki kama kwwli ana evidence ya hilo deni la VAT input.

Wakati hayo maelezo ya kutakiwa kutunza ushahidi kwa miaka mitano upo sheria ya VAT. Inakuonyesha mtu kazoea kukwepa kodi mpaka anafikia hatua anadhani anaweza waongopea TRA wamlipe yeye.

Sasa kama wafanyabiashara wenyewe wanaishia darasa la saba na mwenyekiti wao mwenyewe ambae anatakiwa kupigania maslahi yao uelewa wake wa maswala ya kodi yana limitations; uoni serikali kila siku itakuwa na tishiwa na hoja ambazo msingi wake ni uelewa mdogo tu wa wafanyabiashara na viongozi wao.

Ni kwa utaratibu wa kukabanana tu mpaka waelewe somo, sio hizo cheap popularity za siasa wanazotaka kulea watu wasiotaka kujifunza, na kuwapa lawama TRA katika kutimiza wajibu wao.
 
So, you believe in TRA door to door tax collections, instead of using dedicated systems?

And by the way how to do you replace these tradesmen?

Some people's views here are somewhat disingenuous as well as cynical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…