Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mbowe alichokunyima ni siri yako,sio kwa mahaba haya!Ni kama Mbowe tu ,unaangushwa na konyagi alafu unasingizia wasiojulikana, Lema na Nyalandu wamekimbizwa na madeni alafu wanasingizia wanataka kutekwa na Serikali.!