Serikali yasema haiwatambui wanaofanya kazi za ndani Saudi Arabia

yuko sawa acheni kujisomba Nchi za watu bila utaratibu matapata tabu kenge nyie !

yaani Balozi atembee mitaani na kwenye majumba ya watu kujua kuna Mtanzania hapa ?wewe unaweza ?

Wabongo sometimes mnazingua sana
 
Mkuu wewe unaonekana unaishi in a ivory towel na wazazi wako waliofisadi nchi hii na kuwafanya vijana wake waishi kama kuku wa kienyeji, endelea ila kuna siku upepo utabadilika, balozi yupo kuwawakulisha watanzania means ni wajibu wake kuwatafuta raia wake ili ajue wapo wapi na msaada gani wanahitaji
 
acha kuleta majungu mitandaoni utakufa kibudu kijana !

kwani we unajua mimi nimekulia maisha gani au unanijua ?

tuliza makalio wewe kwenda Nchi za watu bika utaratibu ni sawa na kijitia kitanzi muwe mnakubali ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…