Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Tz ukweli inatakiwa kuishi ukiwa na mtindio wa ubongo na shabiki wa kuangalia tumbo linataka nini
 
Hukumu hii safi sana, tutarajie makatibu na wenyeviti wilaya hadi mikoa pia kupewa nafasi za usimamizi wa uchaguzi.
 
Kwani
Kwa maana hii hata Nape kesho anaweza kuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi. Watanzania tujifunze uhuru wa kweli watu huwa hawapewi kwenye sahani kuna maumivi na gharama
Hujui kuwa hata Mo au Manara anaweza kuwa Rais TFF
 
Nini faida ya kuwa na uchaguzi usio wa huru na haki??

Je kuna faida gani kupunguza nguvu ya kura ya mwananchi mmoja mmoja?
 
Wanaukana uanachama wao wa vyama vya siasa kwa muda wote au mfupi tu? Pia hawa si watumishi wa umma, iweje wawe wanachama wa chama cha siasa?
 
Kwakua Mungu yupo acha tuvute subira ipo siku ushetani tutaufuta kwenye inchi hii kwakua chadema Nia hiyo Tunayo safali ni ndefu Sana inafika hatua hata unaowapigani wanakuchukia kwasababu wanahisi wewe ni mhaini utumwa umewalevya. Mungu tusimame katika ukweli ili siku moja Tanzania iwe na katiba yetu mpya.
 
Hafungwi mtu..kesi ya kisiasa ile...cha msingi wawe busy mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…