Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Uchaguzi huo wa 2020 ususiwe na vyama vyote visivyo pandikizi ili kupinga huu uhuni wa ccm na hiyo Kangaroo Court yao, wawaache akina Mrema, Cheyo na Lipumba tu.

Uchaguzi hauna maana kabisa tena Tanzania. Kila taasisi ktk nchi hii ni idara ya serikali. Ni upumbavu mtupu. Very stupid.
 
Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.

Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mahakama ya rufaa imefikia maamuzi baada ya kujiridhisha na hoja za serikali kuwa wakurugenzi hao kabla ya kuwa wasimamizi wa uchaguzi hula viapo vya kukana uanachama wao.

Pia soma

Baadhi ya mijadala ndani ya JamiiForums:

2016

Julai 2018:

NEC wenyewe walishaona haya:

2016

2014
CORAM: MWARIJA. J.A.. MUGASHA. 3.A. MZIRAY. J.A. MKUYE. J.A. And MWAMBEGELE, J.A.^
Hawa wote ni majaji wa UPE! Hakuna jaji wa maana hapo! Kuna wanawake humo na majaji ambao wametoa conflicting judgement s kwenye OVVERIDING OBJECTIVES
 
Utanyooka tu. Tunaendelea kupiga kazi tu sisi wewe endelea na stress zako.
 
Tafadhari Bi Fatma Karume &TLS & Co go to the EACJ Tanzania is a member and a signotory to the Treaty of EAC.
The rule of law & democratic protocal!
Don't giveup guys!!
What is "democratic protocal"(sic)?

Ha haa
 
CORAM: MWARIJA. J.A.. MUGASHA. 3.A. MZIRAY. J.A. MKUYE. J.A. And MWAMBEGELE, J.A.^
Hawa wote ni majaji wa UPE! Hakuna jaji wa maana hapo! Kuna wanawake humo na majaji ambao wametoa conflicting judgement s kwenye OVVERIDING OBJECTIVES
Nimerudia kusoma ila sijakuelewa mkuu.
 
CORAM: MWARIJA. J.A.. MUGASHA. 3.A. MZIRAY. J.A. MKUYE. J.A. And MWAMBEGELE, J.A.^
Hawa wote ni majaji wa UPE! Hakuna jaji wa maana hapo! Kuna wanawake humo na majaji ambao wametoa conflicting judgement s kwenye OVVERIDING OBJECTIVES
Tutakupa wewe Ujaji ili uwe unatoa hukumu za maana!
 
Majaji wa hovyo kuwahi kutokea. Tulisema hawa majaji wa Kikwete waliolundikwa kwa vile majaji ni wachache itakuwa disaster. Yanaanza sasa. Hii ni hukumu ya hovyo kuwahi kutokea.
 
Kinachotakiwa ni sisi kuamka na kuwafata majaji wa Mahakama kuu wote kuwaonjesha mapanga ili wajue taabu tinazopata kutokana na kushindwa kuutendea haki mhimili mkubwa wa Mahakama.
Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.

Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Mahakama ya rufaa imefikia maamuzi baada ya kujiridhisha na hoja za serikali kuwa wakurugenzi hao kabla ya kuwa wasimamizi wa uchaguzi hula viapo vya kukana uanachama wao.

Pia soma

Baadhi ya mijadala ndani ya JamiiForums:

2016

Julai 2018:

NEC wenyewe walishaona haya:

2016

2014
 
Rule of law, good governance and independence of judiciary
 
"Je uhai una thamani kubwa, au amani ni tamu, hata kuilipia kwa gharama ya kufungwa na utumwa? La hasha! Mungu Mwenyezi aniepushie mbali! Sijui watu wengine watachagua kipi, lakini kwangu mimi, ama unipe uhuru au kifo!" Maneno haya yalisemwa na Patrick Henry Mmarekani Mweusi ktk harakati za kudai uhuru wa watu weusi.
 
Watu yawapasa kujua kuwa tuna mahakama za kisheria (courts of law) siyo mahakama za haki (courts of justice ). Kwa hiyo watu watofautishe hilo. Ukitaka court of justice nenda The Hague utaikuta ICJ, au Arusha utaikuta EACJ.

Mahakama ime-propound na ku-uphold what the law "is"? What does the law say? siyo where is justice? What "ought" to be?

Sasa kama upande wa wakatiwa rufaa wameshindwa kuithibitishia mahakama kuwa viapo vinavyoliwa na hao wakurugenzi kuwa ni batili au havipo, mahakama itapindua sheria kirahisi?
Nakwambia mahakama na hukumu ya hovyo kuwahi kutokea. Wala rushwa wote wanakula viapo. Jiwe anavunij Katiba kila leo, lkn amekula viapo. Majaji wa hovyo kuwahi kutokea duniani! Majaji wa Upe, wacha niseme
 
Haya MABALADHURI inatakiwa itumike njia nyingine sasa,huko kwingine ni kupoteza muda tu. Tume ya Uchaguzi, Mahakama, Ma Polisi n.k vyote ni mali ya chama, CCM.
 
Back
Top Bottom