mnyalilungulu
Senior Member
- Sep 27, 2019
- 170
- 114
mbona ikitenda haki kwa watu wa upinzani mnashangilia au hamjui kuwa sheria ni msumeno
Kwa utawala huu mahakama kitanda haki ni ndoto. Magufuli ndie anayeamua nano afungwe, nani aachiwe, nano apewe dhamani. Hao majaji sijui mahakama wapo kama mambo tu. Yaani ni waoga, yote yanatokana na kulinda kula zao.Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mahakama ya rufaa imefikia maamuzi baada ya kujiridhisha na hoja za serikali kuwa wakurugenzi hao kabla ya kuwa wasimamizi wa uchaguzi hula viapo vya kukana uanachama wao.
Pia soma
![]()
Serikali yabwagwa Mahakamani kesi ya kuzuia Wakurugenzi kusimamia uchaguzi
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mapingamizi ya Upande wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwenye kesi ya kikatiba inayopinga Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi. Uamuzi huo unatokana na Serikali kuwasilisha pingamizi kupitia hoja zao wakidai shauri hilo lilifunguliwa kinyume na sheria...www.jamiiforums.com
![]()
Mahakama Kuu yabatilisha Vifungu vya Sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi
Mahakama Kuu (Dar) imebatilisha vifungu vya sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi. Kesi hiyo namba 6 ya mwaka 2018, ilifunguliwa na Bob Wangwe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Katika kesi hiyo, Bob Chacha Wangwe aliyekuwa akiwakilishwa na Wakili...www.jamiiforums.com
![]()
Serikali kukata rufaa hukumu ya kuzuia Wakurugenzi wa Halmashauri na Jiji kusimamia uchaguzi
hilo liko waziwww.jamiiforums.com
Baadhi ya mijadala ndani ya JamiiForums:
2016
![]()
Hatutaki wakurugenzi wasimamie uchaguzi 2020
Tunataka tume ya taifa ya uchaguzi ijitegemee yenyewe kusimamia zoezi la uchaguzi ifikapo 2020, tume ipeleke wawakilishi wake kwa kila wilaya na sio kuweka wakurugenzi wa halmashauri na manispaa kusimamia uchaguzi kuepusha biases. Hatuwezi kua na uchaguzi huru na wa haki hata siku moja...www.jamiiforums.com
Julai 2018:
![]()
LHRC: Asilimia 80 ya Wakurugenzi wa Halamashauri wanaopaswa kusimamia uchaguzi waliwahi kugombea uongozi kupitia CCM
Hii ni habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu nchini ambapo amesema taarifa hiyo ni kulingana na utafti wao walioufanya mwaka jana ambapo wengi wao waligombea nafasi mbalimbali kupitia CCM ila kura hazikutosha. Mkurugenzi huyo hakutaka kufafanya zaidi kwani...www.jamiiforums.com
NEC wenyewe walishaona haya:
![]()
NEC yatahadharisha Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kutojihusisha na siasa maeneo ya uchaguzi wa marudio
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewaandikia barua za kuwatahadharisha wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kutojihusisha na siasa katika maeneo yao ambayo yanafanya uchaguzi wa marudio ya ubunge. Kauli hiyo, ilitangazwa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhan Kailima, wakati wa...www.jamiiforums.com
2016
![]()
Madhara ya kuteua makada kwenye nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri
UTEUZI WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA WILAYA, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI. Katika ngazi ya wilaya tulizoea kuona Raisi akiteua DC pekee huku nafasi zingine za makatibu tawala na wakurugenzi wakichaguliwa na watu wengine. Nafasi ya Mkurugenzi ni nafasi muhimu sana na inatakiwa kupewa kwa njia ya...www.jamiiforums.com
2014
![]()
Uchaguzi Serikali za Mitaa: Wakurugenzi waendeleza rafu
TARIME; Muda huu tunavyowasiliana kuna sintofahamu kubwa mjini Tarime katika mitaa ya Msati highway, Iganana,Binafsi na Nyangai, ambako DED aliahirisha uchaguzi na akatangaza kwa vipaza sauti ufanyike leo Jumanne. Wananchi kwa wingi wameamkia vituoni. Hakuna kitu kinaendelea. Wamefuatilia...www.jamiiforums.com
Kwamba fisi akiapa yeye si fisi anawekwa pamoja na mbuzi.Sheria hizi kweli zina wataalamu wake aisee
Unaujua mfumo wa utekelezaji wa hukumu zitokanazo na Mahakama ya Africa Mashariki kwenye kesi zitokazo kwenye nchi mwanachama wa EAC?Mahakama za Tanzania haziaminiki, tupeleke kesi mahakama ya Africa Mashariki
Tikimbilie wapi sasa, mahakama zetu kama ndo hizi? hata common sense ya mtoto mdogo wa darasa la kwanza anajua siyo hakiUnaujua mfumo wa utekelezaji wa hukumu zitokanazo na Mahakama ya Africa Mashariki kwenye kesi zitokazo kwenye nchi mwanachama wa EAC?
White elephant yet.
Tumekwisha! Ibrahim Juma umeandika historia!Hakuna kitu kinaitwa uchaguzi Tanzania, ni mfano wa uchaguzi, mahakama imesimamia maamuzi ya CCM kuwarudisha wana CCM kwenye uchaguzi wa vyama vingi yaani CCM wasimamie chaguzi za vyama vingi.
Mahakama nayo ipo chini ya CCM???
Kwani kuna haja gani tena ya kua na chaguzi Tanzania?
Tume ipo chini ya mwenyekiti CCM, mkurugenzi wake CCM. Wasimamizi wake nchini ni CCM.
Uchaguzi Tanzania ni mchezo wa kuigizaView attachment 1235332
Huyo jamaa akiulizwa kati ya fisi na wakurugenzi(binadamu) yupi mwenye utashi? I.e. yaani mwenye Silka au hulka?Nimeipenda hii mkuu, akiumwa na njaa atamla tu!
Ni majaji gani wakola wakubwa!Agizo kutoka msanii rais.
Haya si maamuzi ya kisheria.
Mahakama kuu ilitenda haki.
Mahakam ya rafani imeweka sheria mfukoni.
Mbona hata mpiga kura ni temporary! Wapiga kura nao ni hatari kwa usalama wa nchi?Maamuzi mazuri haya
Huwezi ukampa kazi ya kusimamia Uchaguzi mtu temporary nu hatari kwa usalama wa nchi