Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

Mabadiliko yatakuja kwa Watanzania wenyewe kuyataka na kuyadai kama walivyofanya Watunisia, Walgeria, nk. Hata mahakama nazo zimejilipua...
Hatupingi mipango ya Mungu wala kuikosoa. Lakini tunaweza kumuuliza Mungu kwa nini kizazi cha kina Kapt Hatty Macghee, Lt. Eugene Maganga, Kapt.Komando, Kapt Hanspoppe, nk nk hakukiacha na kukileta wakati huu? Kama wale waliweza kukaa na kuhoji falsafa za Mwalimu ambazo alikuwa amekwisha jijengea jina kubwa sio TZ na Afrika tuu, bali duniani kote jee wangeshindwa sasa kuhoji na kuchukua hatua?
Utawala huu wa sasa hauwezi kutolewa kwa kutumia mbinu za kizazi cha kina Mbowe, Zitto, Mbatia,Heche, Chakaza, Retired, Salary Slip nk maana kwao masikio yametoboka haya maneno matupu yanaingia huku na kutokea huku. Bali kizazi kile hawakuwa wanaandaa maneno matupu bali na viboko ukiwa sugu kusikia.
 
Rekebisha andiko lako na lisomeke kuwa "Mahakama imesaidia wanainchi kutuma salaam kwa serikali na Mbowe na Zitto wadondokea pua" nashangaa watu wazima kwanini hawajieleiwi au pesa za uchaguzi wanazopewa kwa ajili ya uchaguzi kwao ni muhimu kuliko kupigania Tume huru na Katiba mpya?
Mkuu unataka Zitto na Mbowe ndio wapiganie Katiba mpya ?, wapiganieje sasa ?, kama tulijaribu mwaka 2013 kuunda BMK kwa mujibu wa sheria, makaada ya ccm yakawa mengi yakasababisha baadhi ya wajumbe wakajitoa baada kugundua hmna jipya ambalo lingejiri, sasa unataka Mbowe na Zitto waipiganie peke yao ?, tutakuja kijitoa ufahamu bure huko mbele
 
Duuu namwona mbowe na zito wakisusia uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Safi Sana !kiapo kinakubalika kisheria, haohao wakurugenzi mbona waliwapekeka wapinzani bungeni Sasa hivi iwe nongwa kwa nini! Acheni deko upinzani tafteni agenda zenye maana wananchi wawaelewe zaidi ya hapo chaguzi zote mtakuwa watu wa kulialia kila siku
Acha uzwazwa wewe, Wakurugenzi waliowapa ushindi wapinzani walikuwa wateule wa Kikwete, sasa hivi huoni wanchokifanya ?, umevaa miwani ya mbao nini ?
 
Naona Mahakama Haijatenda Haki Kabisa
Halafu kuna mtu anakuja kunambia kajiandikishe ukapige kura kwa namna hii? Serikali yangu ni kichwa changu nafanya uchaguzi nikizinguliwa nafanya mapinduzi ni mim na halmashauri yangu ya kichwa full stop.
 
Maamuzi mazuri haya

Huwezi ukampa kazi ya kusimamia Uchaguzi mtu temporary nu hatari kwa usalama wa nchi
Mara zote serikali inatoa maamuzi sahihi kwenye maoni yako. Kwanini?

Kwangu mm sioni maana ya mteule wa raisi kusimamia uchaguzi ambao mwenyekiti wa chama mshindani ndo mteuzi.

Ukweli ni kwamba hakuna sababu ya vyama vingi Tz, by the way kasi ya raisi inaridhisha tu. Tuachane na vyama vingi uchaguzi uwe ndani ya ccm.
 
So kazi ya kupigania tume huru ni kazi ya zitto na Mbowe tu. Si ndio?
Rekebisha andiko lako na lisomeke kuwa "Mahakama imesaidia wanainchi kutuma salaam kwa serikali na Mbowe na Zitto wadondokea pua" nashangaa watu wazima kwanini hawajieleiwi au pesa za uchaguzi wanazopewa kwa ajili ya uchaguzi kwao ni muhimu kuliko kupigania Tume huru na Katiba mpya?
 
Duu hawa ndo wameapa na kuukana uanachama wao halafu tutegemee uchaguzi huru na WA Hali, Hilo ni pogo Kwa wanademocrasia wore nchini lakini pia ni mwanzo wa kujua kuwa bila nguvu ya umma CCM itatutawala mile,kamwe hatuwezi iondoa CCM na kutengeneza utaratibu mpya, wenye uwazi na uwajibikaji kupitia Sanduku la Kura tujipange si kivyama tena Bali kiharakati na mipango ya kuja kuichukua nchi Kwa nguvu ya umma Tu, narudia ipo siku ipo siku,ipo siku,ipo siku isiyojulikana ipo,ipo nasema ipo na hakika itafika
 
mhh.. haya sio maamuzi sahihi!

Mahakama ikishaanza kujiingiza na masiasa inakosa credibility!
 
Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mahakama ya rufaa imefikia maamuzi baada ya kujiridhisha na hoja za serikali kuwa wakurugenzi hao kabla ya kuwa wasimamizi wa uchaguzi hula viapo vya kukana uanachama wao.
Pia soma
Baadhi ya mijadala ndani ya JamiiForums:
2016
Julai 2018:
NEC wenyewe walishaona haya:
2016
2014
Hata hao majaji hukana uanachama lakini hawarudishi kadi za uanachama, bado ni wanachama.
 
Back
Top Bottom