Serikali yasitisha masomo kwa vyuo vya kati na vyuo vikuu kuanzia tarehe 18/03/2020 ili kupambana na Corona

Serikali yasitisha masomo kwa vyuo vya kati na vyuo vikuu kuanzia tarehe 18/03/2020 ili kupambana na Corona

Kweli hiki ni kichwa cha mwendawazimu, yaani mipaka iko wazi kutiririsha maambukizo kutoka nje kuja ndani ya nchi, ila walio ndani ndio wana hatari ya kusambaziana kuliko wanaouleta.😳
 
Kweli hiki ni kichwa cha mwendawazimu, yaani mipaka iko wazi kutiririsha maambukizo kutoka nje kuja ndani ya nchi, ila walio ndani ndio wana hatari ya kusambaziana kuliko wanaouleta.[emoji15]
WHO ilishauri nchi zisifunge mipaka, kufanya hivyo kutasababisha watu kutumia njia zisizo rasmi ambayo itakua ni hatari zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
heading ya u£ irekebishwe.....Tanzania tuna serikali....hatuna Seikali. moderators kazi kwenu na msisahau kuwatangazia wNa JF uwepo wa corona nchini.
 
WHO ilishauri nchi zisifunge mipaka, kufanya hivyo kutasababisha watu kutumia njia zisizo rasmi ambayo itakua ni hatari zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mashirika makubwa nayo huwa wana agenda zao behind, Nafikiria kitovu cha Corona kingekuwa Africa tungefungiwa fast ili tusiwapelekee weupe
 
Fungeni na maduka,vituo vya polisi, hospital na barabara
Hii si nchi ya demokrasia

Ulishauriwa kufunga airport mapema kabisa ukajifanya mnadumisha urafiki
ukifunga duka, hospitali... Walioko mjini watakula nini? Wenye homa tutaipata wapi panado?
 
Yani Njia ilikua ni Kublock Airways na Mipaka yote Hamna ndege kutoka wala Kuingia na Hamna Basi lolote kwenda Nje ya nchi zibaki routes za ndani tu apo Korona tungebaki kuisikia kwenye Medias

Sema sasa Tunaubavu huo? yani hapa ndo nikiwaza naumia maana hata ukiangalia Kesi karibia zote ni wageni wameleta uku TZ sasa kwa nini tusifunge tu mipaka yetu? au tubaki tukisubiri kufa kama kuku? maana ikisambaa hapa Kariakoo sijui itakuaje

Naskia na Wanataka kupiga Marufuku matumizi ya Hardcopies in term of Monay Transaction Je ndio ya ufunuo?
 
Nahisi maamuz haya yametokana na maombi yaliyowasilishwa na TAHLISO.

Vinginevyo asingetoa hili tamko.

PM ni anahofu Sana kufanya maamuzi, sijui anaogopa Nin?
 
Yap!
Carantin ingewekwa vyuoni na mashule ya bweni!

Day schools postponed, prayers gathering prohibited, sports event paused and daladala trans. Restricted! Mwendokasi abandoned.
And markets such as kariakoo deserted!
 
Back
Top Bottom