Pale mtaa wa congo kariakoo ni sawa na vyuo vikuu vitatu.
Sawa Muitalian.ila mimi nilikua narefer Tz ,so kama nyie mnaigiza or kweli sijui.Watanzania acheni unafiki. Ina maana China, Italy ilikuwa inaigiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri katika hili wazingatie zaidi idadi ya waumini, kuna makanisa mengine yana waumini ishirini hawa waendelee tuNasubiri apige marufuku mikusanyiko kwenye nyumba za ibada zote walau kwa mwezi mmoja au zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui haya! MUNGU wako anakushuhudia kwa hayo unenayo!.Sawa Muitalian.ila mimi nilikua narefer Tz ,so kama nyie mnaigiza or kweli sijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
WHO ilishauri nchi zisifunge mipaka, kufanya hivyo kutasababisha watu kutumia njia zisizo rasmi ambayo itakua ni hatari zaidiKweli hiki ni kichwa cha mwendawazimu, yaani mipaka iko wazi kutiririsha maambukizo kutoka nje kuja ndani ya nchi, ila walio ndani ndio wana hatari ya kusambaziana kuliko wanaouleta.[emoji15]
Haya mashirika makubwa nayo huwa wana agenda zao behind, Nafikiria kitovu cha Corona kingekuwa Africa tungefungiwa fast ili tusiwapelekee weupeWHO ilishauri nchi zisifunge mipaka, kufanya hivyo kutasababisha watu kutumia njia zisizo rasmi ambayo itakua ni hatari zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliojitokeza mwanzoni kuwa wanatibu kwa maombi wako wapi?ndio muda wao sasa wa kuthibitisha ukweli wa maono yaoNasubiri apige marufuku mikusanyiko kwenye nyumba za ibada zote walau kwa mwezi mmoja au zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo itajifunga yenyewe ikikosa wasafiri na wageni!Mipaka nayo Wafunge
Hawa wa Serengeti mara wana tabu sanaMimtu mingine kulalamika tu hata kwa yale yasiyolalamikiwa! Kama ingekuwa rahisi hivyo huu ugonjwa usingeingia marekani na mataifa mengine yaliyo na technolojia na uchumi mkubwa!
ukifunga duka, hospitali... Walioko mjini watakula nini? Wenye homa tutaipata wapi panado?Fungeni na maduka,vituo vya polisi, hospital na barabara
Hii si nchi ya demokrasia
Ulishauriwa kufunga airport mapema kabisa ukajifanya mnadumisha urafiki
imemaanisha kuondoka eneo la masomo. Kwenda nyumbani.Mimi sijaelewa au nashindwa kutofautisha kati ya kusitisha masomo vyuoni na kufunga vyuo unaweza ukasitisha masomo na wanafunzi wakabaki chuoni bila kuingia madarasani lakini pia ukifunga chuo hakuna masomo
Sent using Jamii Forums mobile app
And markets such as kariakoo deserted!Yap!
Carantin ingewekwa vyuoni na mashule ya bweni!
Day schools postponed, prayers gathering prohibited, sports event paused and daladala trans. Restricted! Mwendokasi abandoned.