Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
yani wewe sijui unauzalendo upi!!? hizo hela za wawekezaji kula au fedha ambazo tungepoteza kwenye ujenzi huo bora kipi, kweli maghufuli amezungukwa na maadui wengi ndani ya chama... bora june ifike achukue rungu kabisaHapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
...ktk ushindani wa biashara ya bandari, tutakabiliana vp na bandari za lamu, mombasa, durban, na hata djibout? Hizi bandari zetu zina uwezo wa kuhudumia 3G, na 4G sea vessel, ambazo lamu port inaandaliwa kuziuhudumia? Tutahimili ushindani wa biashara ya bandari unakuwa? Tunatembea wakati wenzetu wanakimbia!
Nyie washauri wa mstaafu mlikuwa mnalijiua ili ila kwa kuwa mlikuwa mnatengeneza jipu bila kujua, sasa yamewakuta.Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Kama watu wenyewe wapo tayari kufuta mikataba yenye uwezo wa kukuza uchumi wakati ata chupa ya lita moja ya maji ofisini ukute ajamaliza. huo muda wa kuufanyia tathmini mradi kama kaupata saa ngapi.Upinzani Tanzania nilijua utafifia kwenye uraisi wa Magufuli, kumbe utashamiri sana, kwani huyu Jamaa atafanya blunder za kutosha kwa kukurupuka. Kuna mengi atafanya vizuri sana, na kuna mengi ataboronga mno. Hili ni mojawapo na grand screw-ups in the making.
tena ashtakiwe kabisaHapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.
Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
MKUU NIMEKUPA LIKE UPO VIZURI SANA NAKUPA MPAKA DADA YANGU HUYU HAPAKiukweli ule mpango wa ule ujenz wa bandari bagamoyo yalikuwa matakwa ya watu wachache walio jifungia ndani wakiwa wamelewa kahawa yao wakaamua mpango wao bila kujali maslahi mapana ya nchi yetu.
Haha..very probing and smart question, anafikili mizigo bandarini lazima iondolewe kwa gari..kikubwa ni kubolesha reli basi..bandari na kuondoa urasimu. .bandari za kujengwa ni ya Tanga na Mtwara sio bagamoyoKwann hutaki kufikirisha akili yako kwamba badala yakutumia malory tuboreshe njia ya reli na asilimia kubwa ya mizigo itolewe bandarin kwa tren?
Zambia....Congo...Malawi....Na nchi za kusini
Dar es salaam iboreshwe kwa ajili Ya Rwanda,Burundi,Congo na Uganda
Habari za faraja sana hizi japo team JK wanatotoa povu sana hapa
Mtazamo wako au vipiNi dili tuu hizi,watu wanarudi kinyume na kwenda kuchukua 80% zao kwa makampuni waliyo saini nao mikataba,Jambo hili ni planned kabisa.
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.
The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.
Source: THE CITIZEN
View attachment 315504[/QU
hahaaa 🙂 what the news.... kama kweli blessed is the one who is in power... Long live President Magufuli...
mkuu natamani kuijua siri hiyo.funguka kama hutajaliSasa ile mikataba 19 aliyosign mkwere pale ikulu akiwa na Rais wa china itakuwaje?
Msaada wa magari ya police tuliyopewa kipindi cha uchaguzi tutawalipa nini wachina?
Nilishawahi kuuliza kama kina cha bandari ya bwagamoyo nichakuongeza wakati bandari ya Mtwara na Tanga zinakina kirefu kinachofanya zikwepwe ni nini?
Je siri ya bagamoyo kufanywa Bandari kubwa na ya kisasa unaijua?
If ur really smart and you think we should have mega projects bandari ndio ilikuwa priority? kwann wasingejenga reli kwanza? Standard gauge cz Rwanda, Burundi , Congo n Uganda zote zinategemea ubora wa reli ya kati..kwann Bandari ya Bagamoyo iwe priority na sio reli kwa kutafutiwa pesa? Plus its more economical kujenga bandari Tanga kubwa then ukai link na reli ya kati kwa kupitia arusha mpaka singida.Ni aibu kubwa sana kama Magufuli kafuta mradi huu, magufuli ako serious kweli? unafuta mradi wa 10 Billions USD? , are we serious? nchi jirani leo watakwenda kulewa kwa habari hii ya Tanzania kukataa bandari ya bagamoyo. Hivi ni kurogwa ama nini? , tutaendelea na kuwa na project za 200 M usd hadi lini?