Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Status
Not open for further replies.
Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
yani wewe sijui unauzalendo upi!!? hizo hela za wawekezaji kula au fedha ambazo tungepoteza kwenye ujenzi huo bora kipi, kweli maghufuli amezungukwa na maadui wengi ndani ya chama... bora june ifike achukue rungu kabisa
 
...ktk ushindani wa biashara ya bandari, tutakabiliana vp na bandari za lamu, mombasa, durban, na hata djibout? Hizi bandari zetu zina uwezo wa kuhudumia 3G, na 4G sea vessel, ambazo lamu port inaandaliwa kuziuhudumia? Tutahimili ushindani wa biashara ya bandari unakuwa? Tunatembea wakati wenzetu wanakimbia!

Mkuu mimi nashangaa watu wanashingilia mradi kusitishwa. Eti tukarabati Dar na Mtwara.

Wameshindwa kabisa kuona umuhimu wa bandari kubwa na ya kisasa.
 
Unaweza kuwa na bandari kubwa Afrika lakini ikawa haina tija kwakuwa wateja wako na mahitaji yako siyo ya kuwa na hiyo bandari kubwa..hata izo bandari 1000 za china unazozisema hazijajengwa beijing peke yake..!bado naunga mkono kupanua bandar za mtwara na tanga kabla yakufikiria kujenga bandari kubwa mpya..!!
 
Last edited by a moderator:
Upinzani Tanzania nilijua utafifia kwenye uraisi wa Magufuli, kumbe utashamiri sana, kwani huyu Jamaa atafanya blunder za kutosha kwa kukurupuka. Kuna mengi atafanya vizuri sana, na kuna mengi ataboronga mno. Hili ni mojawapo na grand screw-ups in the making.
Kama watu wenyewe wapo tayari kufuta mikataba yenye uwezo wa kukuza uchumi wakati ata chupa ya lita moja ya maji ofisini ukute ajamaliza. huo muda wa kuufanyia tathmini mradi kama kaupata saa ngapi.

Kuna mawaziri wakikurupuka sawa lakini sio sehemu sensitive kama hizi ambazo maamuzi yake yanataka maelezo ya viability explanation on opportunity lost in the long term bandari ni sehemu ndogo sana kwa mambo mengine inayoweza chochea nationally kwa sababu ya uwepo wake. Port kubwa afrika ina maana biashara zitasogea tu zenyewe na mtiririko wa faida zingine kuanzia mpakani watu wanoingia na kutoka kwa sababu ya bandari na jamii ya karibu iliyopo na Bandari na pengine kuvutia wawekezaji wengine unaweza vipi kufuta mradi wa $10bn within a month halafu auna option nyingine wakati wewe mwenyewe maskini.

I dont know about upinzani kukua lakini binafsi naamini kutakuwa na mabadiliko kidogo kwa sababu ya kutumia nguvu but not enough to propel growth fully based on national potentials maana hapo ahitaji nguvu bali creativity na sijaona so far.
 
Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.

Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
tena ashtakiwe kabisa
kipindi cha kampeni LOWASSA ALISEMA AKISHINDA HII BANDARI YA BAGAMOYO ATASITISHA UJENZI WAKE na pesa zake ataenda kuziboresha bandari za DAR TANGA NA MTWARA
WAKAMJIBU KINA BULEMBO KUWA HUO NI UBAGUZI MBONA SASA NA WAO WAMEFANYA
LOWASSA ALIJUA HII KUWA HAINA TIJA KABISAWASSA
 
Kiukweli ule mpango wa ule ujenz wa bandari bagamoyo yalikuwa matakwa ya watu wachache walio jifungia ndani wakiwa wamelewa kahawa yao wakaamua mpango wao bila kujali maslahi mapana ya nchi yetu.
MKUU NIMEKUPA LIKE UPO VIZURI SANA NAKUPA MPAKA DADA YANGU HUYU HAPA
 

Attachments

  • 20150228_185218.jpg
    20150228_185218.jpg
    165.6 KB · Views: 23
Kila aliyehusika akamatwe , aliyetoa wazo , waliojadili na kukubali , aliyeidhinisha upuuzi huo , waliokuwa wizarani wakati huo na kila aliyehusika kwa namna yoyote adakwe , vinginevyo mimi binafsi sitakubali .
 
Kwann hutaki kufikirisha akili yako kwamba badala yakutumia malory tuboreshe njia ya reli na asilimia kubwa ya mizigo itolewe bandarin kwa tren?
Haha..very probing and smart question, anafikili mizigo bandarini lazima iondolewe kwa gari..kikubwa ni kubolesha reli basi..bandari na kuondoa urasimu. .bandari za kujengwa ni ya Tanga na Mtwara sio bagamoyo
 
Zambia....Congo...Malawi....Na nchi za kusini

Dar es salaam iboreshwe kwa ajili Ya Rwanda,Burundi,Congo na Uganda

Mkuu hebu vua miwani tazama Ramani ya Africa, siku hizi kuna ushindani mkubwa sana ktk kutafuta wateja, DRC wamevutwa sana na Beira na Cape Town kuliko Dar hawawezi kwanza Mtwara, pia kuna mazungumzo alikua a nafanya Moses Katumbi kufufua reli kati Katanga na Angola ambapol ni jirani sana kwao, ila Kabila ametibua na Moses kahama chama.

Zambia kumbuka waliacha hata kutumia Tazara kusafirisha shaba angalia shida wanayopata Tazara, Chiluba alizidiwa au alihongwa na wafanyabiashara mpaka leo reli zao hazitumiki vizuri kusafirisha mizigo hawawezi kwenda Mtwara, zaidi ni kwa matumizi ya ndani.

Bagamoyo ni muhimu sana kwa Rwanda, Burundi na DRC ambayo Tanzania inaingia mara 3 kwa ukubwa, kwa kupitisha mizigo, Kasanga via Murilo kwa ajiri ya Lubumbash Katanga, Kasai zote 2, na Kinshasa, na Kigoma kwa ajiri ya Congo mashariki majimbo ya Kivu kusini na kaskazini.
 
Mkuu mambo yetu mengi yamejaa usiri unafiki na kutoaminiana,sasa waweza kuta kulikuwa na maslahi binafsi kwa baadhi ya watu na ndio maana unaona jambo muhimu kama hili linasumbua watu vichwa.vinginevyo sisi ni wakupuuza ila najua lazima kuna tatizo tena kubwa kuliko tunavyojua au kuhisi.
 
Last edited by a moderator:
Kwahili ukawa wataisoma namba. Nimekumbuka kitu ndio mahana jakaya alitinga ikulu na mkapa akaenda fasta tofauti na tulivyotegemea na utata zaidi pale mkapa alivyo sema natafanya nawewe kazi yeyote ukipenda kunipa. tofuti jakaya yeye akusema lolote zidi ya kutaka kumkabizi uwenyekiti wa chama
 
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.

The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.


Source: THE CITIZEN
View attachment 315504[/QU
hahaaa 🙂 what the news.... kama kweli blessed is the one who is in power... Long live President Magufuli...
 
Sasa ile mikataba 19 aliyosign mkwere pale ikulu akiwa na Rais wa china itakuwaje?

Msaada wa magari ya police tuliyopewa kipindi cha uchaguzi tutawalipa nini wachina?

Nilishawahi kuuliza kama kina cha bandari ya bwagamoyo nichakuongeza wakati bandari ya Mtwara na Tanga zinakina kirefu kinachofanya zikwepwe ni nini?

Je siri ya bagamoyo kufanywa Bandari kubwa na ya kisasa unaijua?
mkuu natamani kuijua siri hiyo.funguka kama hutajali
 
Ni aibu kubwa sana kama Magufuli kafuta mradi huu, magufuli ako serious kweli? unafuta mradi wa 10 Billions USD? , are we serious? nchi jirani leo watakwenda kulewa kwa habari hii ya Tanzania kukataa bandari ya bagamoyo. Hivi ni kurogwa ama nini? , tutaendelea na kuwa na project za 200 M usd hadi lini?
If ur really smart and you think we should have mega projects bandari ndio ilikuwa priority? kwann wasingejenga reli kwanza? Standard gauge cz Rwanda, Burundi , Congo n Uganda zote zinategemea ubora wa reli ya kati..kwann Bandari ya Bagamoyo iwe priority na sio reli kwa kutafutiwa pesa? Plus its more economical kujenga bandari Tanga kubwa then ukai link na reli ya kati kwa kupitia arusha mpaka singida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom