Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na inakua hasara kwa serikali ila aliyesababisha hiyo hasara hachukuliwi hatua yeyote. Hii ndio ccmHapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
....maadam tuna nia ya kushindana ktk biashara ya iliyojaa ushindani, ya bandari ujenzi wa bandari mpya, kubwa, na ya kisasa haukwepeki....Habar
Habari ina ukweli kabisa, soma The Citizen, huwa gazeti hili hawaongei mambo ya mitaani.
Serikali Awamu ya Nne inaelekea ilitumia vigezo visivyoeleweka vyema katika sekta nzima ya usafirishaji, hususan bandari.
Bagamoyo haina hata reli ya kuunga bandarini, jipu hilo!
Na kikwere wako itabidi arudishe mzigo wa ten percent za watuHapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Ninadhani ni muhimu hiyo bandari iwe mtwara...sio bagamoyo.....Mtwara narurally ina kina kirefu...Pia kwa maana ya Location imekaa strategically zaidi....maadam tuna nia ya kushindana ktk biashara ya iliyojaa ushindani, ya bandari ujenzi wa bandari mpya, kubwa, na ya kisasa haukwepeki....
....lkn, kuna suala la uwezo wa bandari zetu kuhudumia meli kubwa,zinazobeba mpaka kontena elfu kwa mkupuo(3G&4G sea vessels), ambazo lamu port itakuwa na uwezo wa kuzihudumia...tunatazamaje hilo? Au sisi tutabaki tunapokea meli ndogo tu na kuacha biashara kubwa ya bandari, kwa wakenya, djibout, na south afrika?Kama kweli hii habari ni ya kweli, itakuwa ni faraja kubwa kwa watanzania bila kujali itikadi au vyama vya Siasa. Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ulikuwa hauna tija yoyote kwa Taifa na badala yake ilikuwa ni maslahi binafsi ya JK na kundi lake ambalo majority of them wamenunua mashamba Wilaya ya Bagamoyo ili kufaidika na uwekezaji huo. Kimsingi ujenzi wa bandari hii ungeigharimu nchi mamilion ya shilingi ambazo kwa mtazamo wangu zingetosha kuziboresha bandari za Tanga, Mtwara na Dar-es-Salaam.
Baada ya kuzuia ujenzi huu, naishauri serikali ya JPM kuimarisha bandari zilizopo na ili kutake advantage ya land locked countries serikali ifikirie kujenga reli toka bandari ya Mtwara to Bambay ili kusave Malawi na pia reli hiyo iextend kuungana na Tazara ili kusave nchi za Zambia, DRC and Zimbabwe somehow. Pia kwa upande wa Bandari ya Tanga kunahitajik reli itakayo kwenda mpaka Mwanza ili kusave Uganda, Burundi na Rwanda. Kwa kuimarisha Bandari ya Tanga tutakuwa strategically tuna weaken Bandari ya Mombasa at the same time kutaiwezesha Bandari ya Dar-es-Salaam kuwa moja ya Bandari kubwa kabisa katika ukanda wetu wa nchi za maziwa makuu! We need to think positive kama hivi sio kama kina Faiza Foxy wenye maslahi na Mkwere na sasa JPM anamkamua majipu yake mkwere!
Ni mipango ya kuchota pesa za serikali kupitia kuvunjwa kwa mkataba baina ya serikali na mkandarasi.ebu fafanua mkuu,,..point nzuri bt nieelezee vzuri mkuu
got ya,..trueNi mipango ya kuchota pesa za serikali kupitia kuvunjwa kwa mkataba baina ya serikali na mkandarasi.
Itaonekana kwamba serikali imeshindwa kuendelea na mradi hivyo inavunja mkataba waje na mkandarasi na kupoteza stahiki zote walizoingia kwenye mkataba awali.
Swali la msingi sana hiloMikataba iliyoingiwa ikoje....???
Mradi ule ulikuwa ni kwa maslahi ya JK period.unaacha kuimarisha bandari ya mtwara na tanga unajennga bandari ya bagamoyo?Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
...mimi pia nikipendelea na nikidhani hivo, lkn usanifu ulionesha kuwa ni bagamoyo tu, ndipo pana mazingira ambayo kitaalam yanatoa fursa ya ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa, huku bandari zingine zote zikiwa zina mapungufu ya aina moja au ingine, ktk mazingira ya ujenzi wa bandari kubwa....Ninadhani ni muhimu hiyo bandari iwe mtwara...sio bagamoyo.....Mtwara narurally ina kina kirefu...Pia kwa maana ya Location imekaa strategically zaidi
Bagamoyo was a waste...watu walikuwa wanajali kwao
Binafsi Sidhani Kama Ni Busara KUSITISHA UJENZI BANDARI YA DARESALAAM Imeelemewa Saana , Haina Eneo Sioni Dhambi Kujengwa Bandari Bagamoyo Ni Sehemu ya Tanzania Na Ilikuwepo Kwenye Mipango.Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.
Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
Mradi ule ulikuwa ni kwa maslahi ya JK period.unaacha kuimarisha bandari ya mtwara na tanga unajennga bandari ya bagamoyo?