Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Oiiii wale wa uwalimu natatua shida yoyote kwa 1000 nipo Ghorofa refu kabisa DSM natumia Super Computer
 
Jamani sijui huu mfumo wameuwakaje maana ukitaka kujaza shule uliyojitolea kwenye mfumo haipo! Ukiambatisha barua ya kujitolea baadhi ya taarifa zinapotea! Chonde chonde Tamisemi tuokoeni na hili janga! Lol!
 
Nina tatizo

Mwaka jana sikuweka cheti ccha chuo kwasababu sikupata sasa nimenda niediti ili niweke cheti zile Templets za ku-apload vyeti zimekuwa nyeusi hazigusiki huwezi ku upload nimechoka sina nyendo...niki back inaonesha 0%.

Sasa hii nini tena
Hata Mimi nina tatizo Kama Hilo, yani haifunguki kabisaa.., ukiwapigia customer care hawapokei simu
 
Wote wenye degree za education basa kwenye arts tangazo hili haliwahusu
 
Alie fanikisha kujisajili afya jmn, nimekwama kipengele cha NACTE / EQUIVALENT, quote hapa
Mm nilikuwa naomba nafasi ya afisa ustawi wa jamii nikajua ipo sekta ya elimu sasa nataka nirudshe kwenye sekta ya afya nakosa sehemu ya kuedit
 
Malaki mengi tu.
2012 – 2019, wanatakiwa kuomba! Gombania goli hii. Kuna chujio moja hatari. Kiufupi serikali ije na mpango wa haraka halitamaliza hawa vijana wote. Tupo wengi. 2020 wametulizwa, 2021 wanakuja.
•Tuna tatizo la ajira ishu ni siriasi!
 
Back
Top Bottom