Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Nina tatizo

Mwaka jana sikuweka cheti ccha chuo kwasababu sikupata sasa nimenda niediti ili niweke cheti zile Templets za ku-apload vyeti zimekuwa nyeusi hazigusiki huwezi ku upload nimechoka sina nyendo...niki back inaonesha 0%.

Sasa hii nini tena
 
Kama ulikuwa na Account ukifungua tena kuna tatizo
 
NECTA candidate Particulars does not match
Manake nini inanisumbua sana
Kwenye majina jina la kati usiweke lote weka herufi tu
Weka jina jinsi linavyosomeka kwenye vyeti(form 4/6)

Kama jina lako lina majina mawili, sehemu ya jina la kati haujazi kitu

Kama jina lina majina matatu, jaza sehemu zote(jina la kwanza, kati na mwisho).

Mfumo utascan namba yako ya mtihani(kama ni form 4 au 6) halafu utadisplay jina lako kamili, jina la shule pamoja na namba ya mtihani. Hadi hapo utahakiki kama vipo sawa na kuendelea mbele
 
Nauliza ukishachagua chuo ulichosoma alafu uweke level ya elimu inagoma kuweka bachelor inaishia tu diploma
Ni mimi tu au kuna mwingine anakutana na hiki?
 
Shkukrani kaka ngoja nijaribu
 
Nauliza ukishachagua chuo ulichosoma alafu uweke level ya elimu inagoma kuweka bachelor inaishia tu diploma
Ni mimi tu au kuna mwingine anakutana na hiki?

Hata mm pia ila kuna wadau wanadai waliuliza wakaambiwa waweke dip then uweke vyet uendelee
 
Vip wajuzi kwenye hicho kipengele cha machaguo ya mikoa na halmashaur kuna aliyetoboa labda..maana nakwama hapo tu upande wa Afya
 
Back
Top Bottom