Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Somo la Mathematics kama umetoa kwa bahati mbaya sidhani kama utalikuta tena sijui mfumo wao hauko vizuri, na hata ukijaribu kuweka masomo mawili kuna baadhi yanakataa kukaa mawili.
Ni shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
 
Wakuu hii hali ya kutofungua page inawatokea na ninyi?
Screenshot_20210510-155154.jpg
 
Swala nililoliona kuna mnganganyiko mkubwa sana wakimasomo ndani ya nchi yetu .
Kuna makundi haya

1) masomo ya science hapa kuna biology , physics mathematics, engeenering physics e.t.c
- lakini ndani ya kundi hili tuna somo la kilimo ambalo pia kwa jicho lingine watu huliita pia la science

2) Masomo ya biashara . hapa kuna commerce, bookeeping , accounts economics ( haya mawili yapo kuanzia level ya advance kwenda juu chuo nakuendelea) . hivyo shule zinazofundisha haya ni chache na kupelekea wanajamii na hata wadau wengi wa elimu kutoyatambua , na wengine huyaona kama masomo ya arts tu.

3 ) masomo ya arts hapa kiswahili language , history jographia e.tc haya yanafundishwa katika shule nyingi hivyo na masomo yenye umaarufu kwa wanajamii na hata wadau mbali mbali wa elimu .

Sasa basi mkanganyiko huja hapa.
ajira nyingi zinapotolewa , huwa na kigezo hichi .
- walimu wa arts huambiwa waombe shule za msingi na walimu wa science secondary . vizuri lakini wanaposema walimu wa arts hapa hujumuisha ndani na lile kundi la pili la walimu wa biashara ambao wengi masomo yao hayapo katika ngazi ya o - level hivyo hata ndani ya mfumo huwa yawekwi vile vile . nakupelekea wengi washindwe kuomba au hata wakiomba waombe kwa kutumia somo moja.
Mfano
Mwalimu ambaye teaching subjects zake ni comerce na bookeeping akiingia kwenye huu mfumo unakuta masomo yake hayapo . hivyo anashindwa kuomba
Au
Mwalimu ambaye teaching subjects zake ni Economics na Geography akiingia kwenye mfumo atalazimika kuombea Geography na moja kwa moja anajikuta analazimika kuombea somo moja la geography ambalo lina wadau wengi na kujikuta kaingia katika ushindani mkubwa . wakatika kama somo lake la uchumi pia lingekuwepo lingemsaidia akaombea yote mawili pengine ingeongeza nguvu akapata nafasi .

Mwalimu ambaye teaching subjects zake ni Economics na Account huyu ikiingia kwenye mfumo basi moja kwa moja mfumo unamuondoa kwasababu masomo tajwa hapo juu hayapo kwenye mfumo kabisaa.
Kwa namna fulani wadau wa elimu wanaohusika ni kama wameyashau baadhi ya masomo hivi ( ingawa sijui kama nipo sahihi nikisema hivi ni mawazo yangu tu )
Mi nadhani TAMISEMI hawajamsahau huyu mwalimu wa book keeping na commerce. Labda wanataka naye aombe tu, atapangiwa kufundishA kiswahili
 
Ni shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo

Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
Mkuu barua inaandikwa kwa lugha gani
 
System ya awamu hii haina complications hasa upande wa network yani inafunguka fasta tu
 
Back
Top Bottom