Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Msaada tafadhari: hivi unaruhusiwa kuchagua shule ngapi maana kwenye sytem naona inaruhusu shule moja
Uki add shule unarudi tena kwenye machaguo upya una add mpaka shule tano ndo una save
 
Msaada Kwneye MACHAGUO YA MUOMBAJI hapafanyi kazi
View attachment 1779636
Sorry ingawaje nawewe unatafuta mwongozo lakini wewe huko mbele zaidi
Vip waweza share nasi kwanamna gani umepita hatua ya kuhifadhi baada ya kuhakiki taarifa make wengine tuna kwama hapo kuifadhi inagoma
JPEG_20210510_125736_2131338992798026629.jpg

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Above all,

Unaombwa uzoefu wa kufundisha,na unao kwelikweli.

Unaulizwa ulifundisha shule gani na hauna pa kuzipata isipokuwa Kuna shule tayari wameziorodhesha.
Kwa bahati mbaya hizo shule ni chache tu katika halmashauri.
Which means hizo ndizo shule ambapo walimu fulani walikuwa wanajitolea.

Kingine hata ukiiona shule uliyowahi kujitolea,unaombwa barua ya kuruhusiwa kufundisha.
Which means kuna walimu wameshapewa na barua za kuruhusiwa kufundisha.

Mimi na wewe tunapoteza muda tu.

Yaani janja-janja tu.
Vipi Hiki kitu kipo pia kwenye upande wa Afya ?

Anayejua?
 
Wenye connection kali ndo mda wao huuu sasa, hizi kwao ni nyingi sana
mkuu umenchekesha ulivyosema et kwao ni nyingi sana .[emoji3][emoji3] (Manaake anapewa nafasi Kama 4 alaf anaambiwa chagua pakwenda[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari ya mchana huu wana jukwaa.

Mimi nimefanikiwa kufanya registration ila kuna kipengele nimekwama. Kwenye sehemu ya kuchaguwa mkoa na kituo ambacho unataka ukafanye kazi hapo nimeshindwa.

Nijifungua sehemu ya SELECT REGION, sipati option ya mikoa, kadhalika na sehemu ya SELECT COUNCIL na sehemu ya SELECT HEALTH FACILITY.

Msaada wenu tafadhali.
IMG_20210510_123912_982.jpg
IMG_20210510_123935_656.jpg
 
mkuu umenchekesha ulivyosema et kwao ni nyingi sana .[emoji3][emoji3] (Manaake anapewa nafasi Kama 4 alaf anaambiwa chagua pakwenda[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaap tena unabembelezwa pa kwenda unambiwa tukupangie wizarani unasema hapana, unaulizwa Muhimbili, unasema hapana, mpaka kesho yake ndo unatoa majibu

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Above all,

Unaombwa uzoefu wa kufundisha,na unao kwelikweli.

Unaulizwa ulifundisha shule gani na hauna pa kuzipata isipokuwa Kuna shule tayari wameziorodhesha.
Kwa bahati mbaya hizo shule ni chache tu katika halmashauri.
Which means hizo ndizo shule ambapo walimu fulani walikuwa wanajitolea.

Kingine hata ukiiona shule uliyowahi kujitolea,unaombwa barua ya kuruhusiwa kufundisha.
Which means kuna walimu wameshapewa na barua za kuruhusiwa kufundisha.

Mimi na wewe tunapoteza muda tu.

Yaani janja-janja tu.

Bora kumbe na Marehemu yeye alikuwa wazi tu.

R.I.P JPM.
Ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom