Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Je last name unaweka lipi ukiwa unabdili Password mfano hapo je iyo C au PAULKama kwenye cheti chako kuna initial yani jina limewekwa kifupi mfano Juma C. Paul..hiyo C iweke hivyo hivyo kwenye middle name na sio Chalamila au Clement