Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vile upendavyo wewe hata ukiacha ya mwaka jana haina madhara cha muhimu ni barua iwepoJe, barua ya maombi unatuma mpya ee
Mkuu barua inaandikwa kwa lugha ganiHata simu haina tatizo mi nimetumia simu na nimefanikiwa kwa 100% kutuma
Hata simu haina tatizo mi nimetumia simu na nimefanikiwa kwa 100% kutuma
Nani kasema na wapi maana PDF imesema barua tumbona nasikia inabidi iandikwe kwa mkono kwa Kiswahili??
Lugha yoyote kiswahili au kiingereza ni chaguo lakoMkuu barua inaandikwa kwa lugha gani
Shukrani mkuuLugha yoyote kiswahili au kiingereza ni chaguo lako
Heeeeh poleeeh sana.Ni shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo
Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
Mzee hapo nahisi ni matatizo yao huko mpaka warekebishe labda sababu hata nimekutana na hilo tatizo no mathematics, nikawaza labda mathematics sio science au hawahitaji waalimu wa mathematicsView attachment 1779806
msaada wa kuu no mathematics, mwenye uelewa
Hiyo nadhani ni namba ya mtaa. Box ni 1923, DodomaWakuu kwenye anuani ya tamisemi tunaweka na hii no 41118 DODOMA?
Mie huyu hata hatua hiyo sijafika, ndo kwanza bado napambana na madesa.Mtusaidie tu jamani mliofanikiwa kupita kwenye hiko kizingiti
Kwakuwa ni online barua haiwezi kupotea labda ingekuwa kutuma maombi kwa njia ya posta ndio ungeweka hizo posti kodi ili kusaidia barua ifike sehemu husika na isipoteeWakuu kwenye anuani ya tamisemi tunaweka na hii no 41118 DODOMA?
Hata mimi imegoma hapoVip umefanikiwa maana nami imenigomea hapo
Shukrani mkuuKwakuwa ni online barua haiwezi kupotea labda ingekuwa kutuma maombi kwa njia ya posta ndio ungeweka hizo posti kodi ili kusaidia barua ifike sehemu husika na isipotee
watu wa afya option ya kuchagua mkoa na kituo cha kazi naona bado inagoma kufunguka… au ni mimi tu?
NECTA candidate Particulars does not match
Manake nini inanisumbua sana
Hiyo nadhani ni namba ya mtaa. Box ni 1923, Dodom
Ivi ni General secretary au secretary general?Kwenye majina jina la kati usiweke lote weka herufi tu