Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip wajuzi kwenye hicho kipengele cha machaguo ya mikoa na halmashaur kuna aliyetoboa labda..maana nakwama hapo tu upande wa Afya
Jamani, nilifungua account kipindi kile cha nyuma, sasaivi nikiingia kwenye account yangu wanataka nijaze namba ya nida ila nikisubmit naambiwa nida number already exist. Msaada jamani
yaah chief.. may b itatuliaLabda tuweke huo utaratbu wanaodai maana hata pale kwenye course ukijaza manually ukisave inaonyesha diploma badala ya degree mkuu
yaah chief.. may b itatulia
Sijafungua account mpya, natumia ile ile ya zamaniKama umefungua akaunt mpya bas ujue inasoma kwenye ile ya zaman,ila bdaye itakaa sw maana hata jana ilikua inazngua ila ikaja kukubal
mkuu inagoma kabisa...ukibinya inakuwa red so nimeacha kwanzaAisee kwenye machagua bdo ni bila bila vip ww umefanikiwa Chief?
KatibuHii varua ya maombi tunaandika kwa nani? Maana kwenye machagupo kuna kuattach barua na kunamahali pia pa kua attach application latter msaaada
mkuu inagoma kabisa...ukibinya inakuwa red so nimeacha kwanza
dip unamaanisha diploma?Hata mm pia ila kuna wadau wanadai waliuliza wakaambiwa waweke dip then uweke vyet uendelee
dip unamaanisha diploma?
Yani uchague diploma alafu uweke vyeti vyako vya degree?
Basi sawa ngoja tufanye hivyoYeah ndo wakulungwa wanadai wameulizwa wakaambiwa wafanye hvyo,coz hata ukiandika degree yako manually bdo ukisave itaonyesha diploma so ni had ionyeshe kwenye selection pale ndo inakaa fresh,ss unakuta unajaza kila kitu had chuo fresh ukoja kuchek degree unakuta hamna znaanzia diploma so n changamoto
Basi sawa ngoja tufanye hivyo
Shukrani sana
PoapoaPamoja sana ikikubal kwenye kuchagua vtuo tushtue
Daaah!mbona changamoto kama ninayopata,tatizo Ni nini kweliWadau hivi huu mfumo vipi nimeondoa cheti cha chuo najaribu kutaka ku-upload yaani haitaki kabisa sehemu za ku-upload ni nyeusi nimekamilisha kote hapa ndio tatizo
View attachment 1779975
View attachment 1779976
View attachment 1779977
View attachment 1779978