Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
UuNi shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo
Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
Lete details nikumalizieAisee kwenye machagua bdo ni bila bila vip ww umefanikiwa Chief?
Boy let 1000 nikutatulieDaaah!mbona changamoto kama ninayopata,tatizo Ni nini kweli
Boy let 1000 nikutatulie
Mimi nipo upande wa EduUngesema tu soln yake humu ungekua umeokoa watu wa Afya karbia wote wanaoomba
Barua inaandikwa kwa mkonohivi barua tunaandika kwa mkono alafu kwa Kiswahili eti???
Mimi nipo upande wa Edu
[emoji1787][emoji23]daah kwa hiyo ndo umepata fimbo ya kutuchapiaBoy let 1000 nikutatulie
Weka 1000 hiyo kama wewe Edu wacha ngoyoyo[emoji1787][emoji23]daah kwa hiyo ndo umepata fimbo ya kutuchapia
Hata Mimi nina tatizo Kama Hilo, yani haifunguki kabisaa.., ukiwapigia customer care hawapokei simuNina tatizo
Mwaka jana sikuweka cheti ccha chuo kwasababu sikupata sasa nimenda niediti ili niweke cheti zile Templets za ku-apload vyeti zimekuwa nyeusi hazigusiki huwezi ku upload nimechoka sina nyendo...niki back inaonesha 0%.
Sasa hii nini tena
Nawahurumia kituo utakachopangiwa, wadada wataliwa kimasikhara hadi wajute kukufaham Dr Riki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wa afya option ya kuchagua mkoa na kituo cha kazi naona bado inagoma kufunguka… au ni mimi tu?
Mbona kwenye tangazo wapo primary ?Wote wenye degree za education basa kwenye arts tangazo hili haliwahusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha kuwaumiza wenzio mioyo.Wote wenye degree za education basa kwenye arts tangazo hili haliwahusu
Mm nilikuwa naomba nafasi ya afisa ustawi wa jamii nikajua ipo sekta ya elimu sasa nataka nirudshe kwenye sekta ya afya nakosa sehemu ya kueditAlie fanikisha kujisajili afya jmn, nimekwama kipengele cha NACTE / EQUIVALENT, quote hapa
Natatua hilo tatizo kwa 1000Hata Mimi nina tatizo Kama Hilo, yani haifunguki kabisaa.., ukiwapigia customer care hawapokei simu
Una ushahidiWote wenye degree za education basa kwenye arts tangazo hili haliwahusu
2012 – 2019, wanatakiwa kuomba! Gombania goli hii. Kuna chujio moja hatari. Kiufupi serikali ije na mpango wa haraka halitamaliza hawa vijana wote. Tupo wengi. 2020 wametulizwa, 2021 wanakuja.Malaki mengi tu.