Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Wakuu kama hujajitolea ,na barua ya kujitolea huna ,maombi yanaweza kukamilika kwa asilimia mia ? Na ukatuma
 
Wakuu msaada apo nilifungua account kipindi cha nyuma lkn nikiingia inaniambia ivyo shida nn
 
Tumeongeza vifaa tiba kwenye mahospitali, mbona sioni mainjinia wa vifaa tiba wakiajiriwa? Hawapo au vikiharibika tutatafuta wataalamu kutoka nje?
 
Anaekutana na hii kitu anambie au ni kwangu tyu[emoji849][emoji849][emoji45]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…