Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Rudi kwenye taarifa binafsi kwenye kuchagua aina ya maombi utakuwa umeweka siyo isome vizuri
 
TAMISEMI AWAPOKEI SIMU YANI HATA KIDOGO WAMETUWEKEA KAMA MAPAMBO JAMANI UKU TUNA SHIDA SANA KWENYE MFUMO OTEAS
Waziri alisema zitakuwa zinapokelewa, kwanini wazingue?
 
Sielewi hii kitu, hivi ni kwa Afya tu au hata watu wa Elimu wanapititia hii. kwenye kuichagua vituo, vituo havijitokezi au vimeshajaa tayari
 
Naomba kuuliza wakuu cv tunaiattach wap maana naona inahitajika
Sina uhakika ila nadhan ile hatua ya Kwanza ambayo unajaza taarifa zako binafsi Kama jinsia, level ya elimu yako, namba ya simu, namba ya nida, na mengine ndio usimama Kama CV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…