Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Ujue pale kwenye professional wamekuwekea tayar so n unafanya kuchagua tuu, sasa hizo education hazipo kwenye professional qualifications.
Mm nnawaza niandike ana degree ya English halafu niweke tena ana degree ya history.
Sijui ntakuwa sahihi.
 
Ujue pale kwenye professional wamekuwekea tayar so n unafanya kuchagua tuu, sasa hizo education hazipo kwenye professional qualifications.
Mm nnawaza niandike ana degree ya English halafu niweke tena ana degree ya history.
Sijui ntakuwa sahihi.
Hizo interview zote utazifanya Kwa pamoja ?
 
Tupo hapa tunabishana ,,,

Vyeti tunavyovi -upload kwenye mfumo ,,,

Ni hizi copy tulizo certify kutoka kwa mwanasheria na kuzi-scan ?? Au

Ni hivi vyeti vya kitaaluma ,, tulivyovi -scan ,, ?? ( Vyeti vilivyotumika katika mfumo wa or tamisemi )


Vipi hasa tunavipandisha kwenye mfumo ??..
 
Mm nnawaza niandike ana degree ya English halafu niweke tena ana degree ya history.
Sijui ntakuwa sahihi.

Hapa ndio hujaelewa comment yangu.

Nimesema kama amespecialize masomo 2 na mfumo ukayatambua inabidi aandike BACHELOR OF EDUCATION IN ENGLISH AND KISWAHILI, mara moja tu maana tayari ipo kwneye mfumo.

Sasa kwa sifa hiyo utaweza kuomba nafasi ya kila somo na mfumo hautakukataa.

Kuna mtu amesoma Geography na Kiswahili halafu mfumo umemtambua, nimemfanyia application kwa masomo hayo yote.
 
Copy ulizo certify kwa mwanasheria
 
Geog na Kisw ipo ila history na English haipo
 
Wakuu hivi kuedit inakubali , application failed Ni nyingi na nimegundua Ni kozi niliyoweka ndio tatizo ....
 
NAULIZA.!!
Nimesoma diploma ya ualimu wa sekondari-2011. Nikiingia ajira portal ktk acadwmic qualification...chuo hakipo kwenye orodha pale. Je ni sahihi niki click "OTHER" then niandike jina la hiko chuo manually?
2. Pale chini inadai niweke GPA, nimeshindwa kuelewa niweke nn..maana nina cheti tu cha NECTA kikiwa na matokeo ya jumla...hakuna GPA, Au diploma yangu ni outdated...za sasa zina GPA?
3. CV nayo inasainiwa pale chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…