Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kada zingine Zina watu wachache, afya na elimu ni balaa zaidi ya watu laki 3 hizo computer zitatosha? Network yenyewe bongo ni kizungumkuti.
Nani kakidanganya?
 
GPA ILIYOPO kwenye transcript
Diploma hakuna GPA....Ndo maana nauliza au za sasa zinakua na gpa?naomba wenye diploma ambao wamefanikiwa kujisajili wanisaidie hili jambo. Kwenye certificate tunaweka nini...na pale kwenye transcript tunaweka kitu gani....na hiyo GPA inatoka wapi?
 
Nasema hivi kwa 7bu diploma tunapiga paper ya necta...na cheti ni kimoja tu...kinakuwa na matokeo humohumo
 
Miaka yetu hakuna transcript aisee....wala GPA.
 
Nasema hivi kwa 7bu diploma tunapiga paper ya necta...na cheti ni kimoja tu...kinakuwa na matokeo humohumo
Ulitoka na GPA ya ngapi chuo ndyo uweke hiyoo.Kwa mara ya kwanza nasikia transcript Haina matokeo na GPA.
 
Iko hivi 2011,diploma in secondary education....cheti kinatoka na matokeo ya kozi ulizosoma hapohapo. Kinafanana kila kitu na vile vya form four na form six. Na hakuna GPA. Ndo maana nikauliza au hii yangu ni outdated...za sasa zina transcript na gpa?
 
Wazoefu wa huu mfumo wa ajira Portal msaada wa ufafanuzi namna ya ku attach vyeti.

Je vyote vinawekwa hapo kwenye academic qualifications au kuna vinavyo weka na hapo kwenye professional Qualifications
 
View attachment 3049529

Mkuu ivyo NI vitu viwili tofauti, ya Kwanza ni vyeti vyako vya taaluma mfano cha form 4, 6, astashahada, stashahada, shahada, shahada ya uvamili na kuendelea uko iyo nyingine na vingine kwa mfano driving na kuendelea uko
 
Na hapo kwenye training and workshop
 
View attachment 3049529
Wazoefu wa huu mfumo wa ajira Portal msaada wa ufafanuzi namna ya ku attach vyeti.

Je vyote vinawekwa hapo kwenye academic qualifications au kuna vinavyo weka na hapo kwenye professional Qualifications
Kwenye professional kuna Kada ambazo zina board zao Kwa mfano manurse, engineers, madoctors, hawa watu WA procurement na wahasibu na nyingine nyingi nyingi uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…