Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Dah, haya bhana 😂Naombeni sample ya barua na CV sijui jinsi ya kuviandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, haya bhana 😂Naombeni sample ya barua na CV sijui jinsi ya kuviandika
Nani kakidanganya?Kada zingine Zina watu wachache, afya na elimu ni balaa zaidi ya watu laki 3 hizo computer zitatosha? Network yenyewe bongo ni kizungumkuti.
Naombeni sample ya barua na CV sijui jinsi ya kuviandika
Kweli walimu Mungu awatie nguvu.Naombeni sample ya barua na CV sijui jinsi ya kuviandika
Mkuu ahsante sana nimewacheki wakanitumiaWatumie email ict@ajira. go.tz waambie wakukumbushe username na password mpya maana ulishafungua acc tayari
Usisahau kuweka namba ta nida
Mimi pia nimiongoni mwa wanaopiga interview hatufurahii NI kueleweshana Tu mkuuNaona Una furahi sana watu kupigwa interview....kwa nini hukusoma afya au ualimu uwe miongoni?
thanksIko hivi " Mwanasheria/Wakili aliyesajiliwa au Mkuu wa Idara ya Utumishi "
Mwanasheria, Mahakama
Kote wanakubali
September 2024?Taarifa za mwezi Septemba 2024 zilizovuja ni kwamba, waalimu zaidi ya laki mbili walifanyiwa usaili wa aina tatu
1: Written 2: Practical 3: Oral
Ili wapatikane waalimu 11,000 tuu 😂
NdioSeptember 2024?
Diploma hakuna GPA....Ndo maana nauliza au za sasa zinakua na gpa?naomba wenye diploma ambao wamefanikiwa kujisajili wanisaidie hili jambo. Kwenye certificate tunaweka nini...na pale kwenye transcript tunaweka kitu gani....na hiyo GPA inatoka wapi?GPA ILIYOPO kwenye transcript
Nasema hivi kwa 7bu diploma tunapiga paper ya necta...na cheti ni kimoja tu...kinakuwa na matokeo humohumoDiploma hakuna GPA....Ndo maana nauliza au za sasa zinakua na gpa?naomba wenye diploma ambao wamefanikiwa kujisajili wanisaidie hili jambo. Kwenye certificate tunaweka nini...na pale kwenye transcript tunaweka kitu gani....na hiyo GPA inatoka wapi?
Miaka yetu hakuna transcript aisee....wala GPA.Graduated 13 years ago pole mkuu
Naamini umepitia magumu,maaana diploma wa miaka hii wako kazini
1.Ndiyo chagua other weka jina la chuo
2.GPA huwa inaandikwa kwenye transcript na sio kwenye cheti,angalia transcript watakua wameandika kama ulipata daraja la point ipi then andika hiyo
Na lazima pia uweke hiyo transcript hapo ina sehemu yake au miaka yenu haikuwa na transcript?
3.unaweza kusaini ila si kwa umuhimu maamuzi ,
Kwanza mimi binafsi sijawahi kuattach cv tofauti na wasifu ninao jaza kwenye mfumo wa ajira portal na hakuna nafasi akbayo nimewahi omba na sikuitwa kisa kutoweka CV maana wao wamekurahisishia ujazo wasifu wako (cv) umo kwenye mfumo na wadhamini watatu pia unajaza umo umo
Ulitoka na GPA ya ngapi chuo ndyo uweke hiyoo.Kwa mara ya kwanza nasikia transcript Haina matokeo na GPA.Nasema hivi kwa 7bu diploma tunapiga paper ya necta...na cheti ni kimoja tu...kinakuwa na matokeo humohumo
Iko hivi 2011,diploma in secondary education....cheti kinatoka na matokeo ya kozi ulizosoma hapohapo. Kinafanana kila kitu na vile vya form four na form six. Na hakuna GPA. Ndo maana nikauliza au hii yangu ni outdated...za sasa zina transcript na gpa?Ulitoka na GPA ya ngapi chuo ndyo uweke hiyoo.Kwa mara ya kwanza nasikia transcript Haina matokeo na GPA.
Mkuu ivyo NI vitu viwili tofauti, ya Kwanza ni vyeti vyako vya taaluma mfano cha form 4, 6, astashahada, stashahada, shahada, shahada ya uvamili na kuendelea uko iyo nyingine na vingine kwa mfano driving na kuendelea ukoView attachment 3049529
Wazoefu wa huu mfumo wa ajira Portal msaada wa ufafanuzi namna ya ku attach vyeti.
Je vyote vinawekwa hapo kwenye academic qualifications au kuna vinavyo weka na hapo kwenye professional Qualifications
Na hapo kwenye training and workshopMkuu ivyo NI vitu viwili tofauti, ya Kwanza ni vyeti vyako vya taaluma mfano cha form 4, 6, astashahada, stashahada, shahada, shahada ya uvamili na kuendelea uko iyo nyingine na vingine kwa mfano driving na kuendelea uko
Kwenye professional kuna Kada ambazo zina board zao Kwa mfano manurse, engineers, madoctors, hawa watu WA procurement na wahasibu na nyingine nyingi nyingi ukoView attachment 3049529
Wazoefu wa huu mfumo wa ajira Portal msaada wa ufafanuzi namna ya ku attach vyeti.
Je vyote vinawekwa hapo kwenye academic qualifications au kuna vinavyo weka na hapo kwenye professional Qualifications
Hapo utajaza Tu training yeyote ambazo umewahi kuhudhuria seminars yeyote ila sio lazima Sana kama hujawi hudhuriaNa hapo kwenye training and workshop