Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kada zingine Zina watu wachache, afya na elimu ni balaa zaidi ya watu laki 3 hizo computer zitatosha? Network yenyewe bongo ni kizungumkuti.
Nani kakidanganya?
 
Attachments

  • IMG-20240722-WA0129.jpg
    IMG-20240722-WA0129.jpg
    103.5 KB · Views: 9
GPA ILIYOPO kwenye transcript
Diploma hakuna GPA....Ndo maana nauliza au za sasa zinakua na gpa?naomba wenye diploma ambao wamefanikiwa kujisajili wanisaidie hili jambo. Kwenye certificate tunaweka nini...na pale kwenye transcript tunaweka kitu gani....na hiyo GPA inatoka wapi?
 
Nasema hivi kwa 7bu diploma tunapiga paper ya necta...na cheti ni kimoja tu...kinakuwa na matokeo humohumo
 
Graduated 13 years ago pole mkuu
Naamini umepitia magumu,maaana diploma wa miaka hii wako kazini
1.Ndiyo chagua other weka jina la chuo
2.GPA huwa inaandikwa kwenye transcript na sio kwenye cheti,angalia transcript watakua wameandika kama ulipata daraja la point ipi then andika hiyo
Na lazima pia uweke hiyo transcript hapo ina sehemu yake au miaka yenu haikuwa na transcript?
3.unaweza kusaini ila si kwa umuhimu maamuzi ,
Kwanza mimi binafsi sijawahi kuattach cv tofauti na wasifu ninao jaza kwenye mfumo wa ajira portal na hakuna nafasi akbayo nimewahi omba na sikuitwa kisa kutoweka CV maana wao wamekurahisishia ujazo wasifu wako (cv) umo kwenye mfumo na wadhamini watatu pia unajaza umo umo
Miaka yetu hakuna transcript aisee....wala GPA.
 
Nasema hivi kwa 7bu diploma tunapiga paper ya necta...na cheti ni kimoja tu...kinakuwa na matokeo humohumo
Ulitoka na GPA ya ngapi chuo ndyo uweke hiyoo.Kwa mara ya kwanza nasikia transcript Haina matokeo na GPA.
 
Iko hivi 2011,diploma in secondary education....cheti kinatoka na matokeo ya kozi ulizosoma hapohapo. Kinafanana kila kitu na vile vya form four na form six. Na hakuna GPA. Ndo maana nikauliza au hii yangu ni outdated...za sasa zina transcript na gpa?
 
1000022613.jpg

Wazoefu wa huu mfumo wa ajira Portal msaada wa ufafanuzi namna ya ku attach vyeti.

Je vyote vinawekwa hapo kwenye academic qualifications au kuna vinavyo weka na hapo kwenye professional Qualifications
 
View attachment 3049529

Mkuu ivyo NI vitu viwili tofauti, ya Kwanza ni vyeti vyako vya taaluma mfano cha form 4, 6, astashahada, stashahada, shahada, shahada ya uvamili na kuendelea uko iyo nyingine na vingine kwa mfano driving na kuendelea uko
 
Na hapo kwenye training and workshop
 
View attachment 3049529
Wazoefu wa huu mfumo wa ajira Portal msaada wa ufafanuzi namna ya ku attach vyeti.

Je vyote vinawekwa hapo kwenye academic qualifications au kuna vinavyo weka na hapo kwenye professional Qualifications
Kwenye professional kuna Kada ambazo zina board zao Kwa mfano manurse, engineers, madoctors, hawa watu WA procurement na wahasibu na nyingine nyingi nyingi uko
 
Back
Top Bottom