Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000


Wakuu hapo shida itakuwa nini, ni muombaji mpya hajawahi jisajiri kwenye ajira portal
 
Jamani mimi dogo hajapewa transcript na NACTE ila ana vyeti vyote vipi mfumo utakubali kupokea maombi?
Ameomba lini?

Kwa kawaida Huwa inatoka baada ya wiki mbili asitegemee wamtumie SMS Kwamba kimetoka mara nyingi Huwa hawatumi.
 
Kurahisisha hicho cheti kirudie mara mbili
Attach sehemu ya cheti na sehemu ya transcript ili tu ikuruhusu kuomba
Maana mfumo wao bila kuweka transcript yawezekana ikakugomea kuapply
Mkuu mwl wa certificate akiweka chet kwenye academic qualifications kinagoma maana hawana transcript ya chuo wana cheti chenye matokeo kama form four
 
Kurahisisha hicho cheti kirudie mara mbili
Attach sehemu ya cheti na sehemu ya transcript ili tu ikuruhusu kuomba
Maana mfumo wao bila kuweka transcript yawezekana ikakugomea kuapply
Asante Sana mkuu imekubali
 
Subiri usahili ufike uje uone jinsi wanavyoshindwa kumudu hiyo kazi
 
Walimu round hii wamekamatika haswa
 
Wewe ulishajisajili na umesahau taarifa zako hivyo wapigie utumishi watakupa msaada wa kukupatia taarifa zako! Andaa email yako
hapana ni mtumiaji mpya kabisa
 
Msaada Nashindwa kuatach vyeti (kuweka vyeti) Nikigusa pale hainipeleki kwenye vyeti (ukubwa wa vyeti ni Mb 1 Na vingine Ni Kb)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…