Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameomba lini?Jamani mimi dogo hajapewa transcript na NACTE ila ana vyeti vyote vipi mfumo utakubali kupokea maombi?
Mkuu mwl wa certificate akiweka chet kwenye academic qualifications kinagoma maana hawana transcript ya chuo wana cheti chenye matokeo kama form four
Asante Sana mkuu imekubaliKurahisisha hicho cheti kirudie mara mbili
Attach sehemu ya cheti na sehemu ya transcript ili tu ikuruhusu kuomba
Maana mfumo wao bila kuweka transcript yawezekana ikakugomea kuapply
Vip amefanikiwa kujiunga???View attachment 3050056
Wakuu hapo shida itakuwa nini, ni muombaji mpya hajawahi jisajiri kwenye ajira portal
Wewe ulishajisajili na umesahau taarifa zako hivyo wapigie utumishi watakupa msaada wa kukupatia taarifa zako! Andaa email yakoView attachment 3050056
Wakuu hapo shida itakuwa nini, ni muombaji mpya hajawahi jisajiri kwenye ajira portal
Subiri usahili ufike uje uone jinsi wanavyoshindwa kumudu hiyo kaziNdo weakness kubwa ya ajira portal,,anaenufaika ni yule ambae amamaliza juzi lakin wale wa miaka ya nyuma ni ngumu kutoboa maana vitu vingi wamesahau ,mm naona tamisemi palikua panafaa zaidi maana wao ni wengi na ninajua PSRSS Hawawez kumudu usaili wa watu 250,000
Walimu round hii wamekamatika haswaUtaulizwa kulingana na kazi uliyo omba! Kama ni mwalimi wa hesabu utaulizwa mahesabu na ya kwanza ni ya kuandika inafanyika kwa compute “aptitude test” wana set muda mnaanza kwa pamoja nchi nzima …muda ukiisha basi hawana haja ya kukwambia pens down! Halafu kuna practical ambayo itahusu uwezo wako wa kufundisha wanafunzi na watu halafu baadae kuna ya ana kwa ana na panel ambayo itahusu uwezo wako wa kuelewa, maswali yatapima uwezo wako! Swali la kwanzo “tell us about your self” or your academic back ground! Kwenye oral swala kubaa ni confidence na uwezo wa kuzingatia muda na kusikiliza vyema basi!
Kila la kheri!
hapana ni mtumiaji mpya kabisaWewe ulishajisajili na umesahau taarifa zako hivyo wapigie utumishi watakupa msaada wa kukupatia taarifa zako! Andaa email yako
passport size si kuna sehemu ya picha juu ya dashboardAisee paspoti size wanaambatisha wapi pamoja na application letter
Bado mkuuVip amefanikiwa kujiunga???
basihapana ni mtumiaji mpya kabisa
Usiku huwa wanapokea?Wapigie basi simu lazima hii nida yako imetumika
basi
Tuma email NA wwUsiku huwa wanapokea?
zinajibiwa chap?Tuma email NA ww
Vip mmefanikiwa????zinajibiwa chap?
Bado mkuuVip mmefanikiwa????
Hapana.Hy picha anaweka kwenye barua?