Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Acha uoga wewe utumishi hawajaanza kufanyiwa watu usaili leo! Wanafanya nyomi nyomi na wanafanya kwa kanda
 
Huwezi jua kila kitu mkuu wasaidie tu, hao walimu ni dada zetu, kaka zetu na wadogo zetu, wasaidie kama unao huo ufahamu na uzoefu wa kutumia system kwenye kuomba ajira
Sawa mkuu
 
Kuna vitu wangeacha tu uko uko OR TAMISEMI
 
Wakuu samahani kwangu sion sehemu ya ku attach application letter kwenye attachment sehemu ya cover letter haipo
 
Aisee kwangu wanasema NIDA ishatumika kabla kwenye mfumo.
Sasa sikumbuki nilitumiaga email Gani wala password 🔑
 
Aisee kwangu wanasema NIDA ishatumika kabla kwenye mfumo.
Sasa sikumbuki nilitumiaga email Gani wala password 🔑
the same case kwa huyu ninaye msaidia niliwatumia email jana hawajajibu ngoja niwatwangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…